Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Dini ni utamaduni, kama sio dini yao basi sio utamaduni waowale wamakonde kule msumbjii watakuwa watu hovyo kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dini ni utamaduni, kama sio dini yao basi sio utamaduni waowale wamakonde kule msumbjii watakuwa watu hovyo kabisa
Hii tatoo ya kinyama sana man😅😅😅🤣😂😂😂Mi tattoo niliyochora ni hii hapa sina baya unyama ni mwingi sana blood.View attachment 2081964
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Mfano kazi gani?Mkuuu kuna wengine wamezichora kutokana na matakwa ya kazi wanazofanya hivyo tusiwahukumu wooote tutakuwa tumefanya FALLACY OF GENERALIZATION. Lkn kwa wengineo aina hiyo ya Urembo kwakweli haifai kwa vyovyote.
Kwa ajili ya wafu manaake ni nini? Mie nataka niandike jina la mama yangu na ndugu yangu wa damu waliokufa tayari kama kumbukumbu!28 Msichanje chale yo yote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala msiandike alama miilini mwenu; mimi ndimi Bwana.
Mambo ya Walawi 19:28
Mungu hapendezwi nayoKwa ajili ya wafu manaake ni nini? Mie nataka niandike jina la mama yangu na ndugu yangu wa damu waliokufa tayari kama kumbukumbu!
Ndio bibilia haitaki hivyo?
Basi sawa mkuuMungu hapendezwi nayo
[emoji106][emoji106]Basi sawa mkuu
Huu mstari wa Biblia una historia nyuma yake, watu tunautafsiri kama ulivyo, sina maana ya kutaka kuwaaminisha ninavyoamini mimi ila natoa hoja yangu tu.Mambo ya Walawi 19:28
[28]Msichanje chale yo yote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala msiandike alama miilini mwenu; mimi ndimi BWANA.
Ye shall not make any cuttings in your flesh for the dead, nor print any marks upon you: I am the LORD.
Tatoo ni dalili pia kwamba huyo mtu anatawaliwa na Shetani mkuu,it is a sign of demon possession!Tukubali tukatae, ukiona mtu ana tattoo yoyote ujue ni matokeo ya malezi mabaya.
Tattoo ni ishara ya mtu kutokujijali, kutojali afya wala thamani ya mwili wake na pia kutokutumia akili sawasawa.
Ndio maana China kwa ajili ya kulinda kizazi cha sasa na kizazi cha baadae imepiga marufuku ukengeufu na kuzuia watu kutokuchora tattoo. Sio China tu, nchi nyingi sasa zimeshaanza kuona kwamba tattoo ni mwenendo mbaya kwa jamii hivyo kuanza kuzipiga marufuku.
Ukiangalia, huwezi kukuta familia zinazojielewa na zenye heshima katika jamii kama wanasiasa, wafanya biashara wakubwa, wanasayansi, wasomi nk watoto wao ama wao wenyewe wamechora tattoo. Na hata kama ikitokea alichora kwa bahati mbaya akiwa mdogo, lazima utakuta anaificha sana isionekane katika jamii. Sababu ya kufanya hivyo ni moja tu kwamba tattoo ni ishara ya malezi mabaya ama tabia mbaya.
Huku Afrika hasa Tanzania ambako usimamizi wa maadili na mwenendo mwema katika jamii imeachwa kwa mtu binafsi, vijana wengi huona kuchora tattoo ni ufahahari kua kama Messi ama 50 Cents.
Tulinde kizazi chetu cha sasa na cha baade kutoka kwenye uharibifu huu wa Tattoo, tueleze vijana tattoo sio jambo jema na sio ufahari, ni ujinga.
![]()
China bans footballers from getting tattoos | CNN
China has banned footballers from getting tattoos and ordered those with existing ones to remove or cover them up to set a “good example for society,” according to a directive issued by the General Administration of Sport of China (GAS).www.cnn.com
Bujibuji uko vizuri na nafurahia comments zako uko balanced! Ukiwa kwenye MMU uko vizuri pia huku kwenye Biblia vivyo hivyo!Mambo ya Walawi 19:28
[28]Msichanje chale yo yote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala msiandike alama miilini mwenu; mimi ndimi BWANA.
Ye shall not make any cuttings in your flesh for the dead, nor print any marks upon you: I am the LORD.
Ni suala la Muda tuu, haya mambo yatakuja kuwa common kabisa kwenye jamii; Mambo kama Uvaaji suruali kwa, Unywaji pombe, Uvutaji sigara, uvaaji nguo fupi etc. There was a time kufanya mambo kama hayo ilikuwa ni ishu kweli kweli, kwanza mtu anaanzia wapi??Lkn kwa wengineo aina hiyo ya Urembo kwakweli haifai kwa vyovyote.
wanawake wengi mnaochora tattoo mnatoa ndogo,Baaada ya muda tattoo itakua jambo la kawaida tu kama wenzetu. Unakuta mfanyakazi wa umma na ana tattoo yake wala hana wasiwasi.
Kuna wanaochora kutopitwa na fashion hata ukimuuliza maana ya hiyo tattoo hawez kukupa jibu. Na mwingine anachora kwa kitu ambacho hataki kukisahau maishani mwake.
Kila mtu na mwili wake ya nini kupangiana na kunyoosheana vidole
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mambo ya walimwengu ukiyatilia maanani mbona hutofanya jambo la kufurahisha nafsi yako. Zamani ilikua msichana ukivaa suruali ya kubana tulikua tunaitaga 'm-bato' unaonekana muhuni. Kiko wapi sasaNachoelewa tatoo ni uhuni kama huna hela tu ila ukiwa kama Carlito wa Samaki Samaki pale kajichora mwili mzima huwezi sikia kelele zozote
Kwahiyo wanaume mnaochora mnatoa kubwa au?wanawake wengi mnaochora tattoo mnatoa ndogo,
aliskika akisema mtifua tope maarufu.
😅😅😅😅😅😅😆 amevaa mmbato mtoto wa mama Jeni hana adabu kabisa anaonesha maumbile yake😅 leo zinavaliwa za kuchanika kama dekio na hamna mtu anaongea.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mambo ya walimwengu ukiyatilia maanani mbona hutofanya jambo la kufurahisha nafsi yako. Zamani ilikua msichana ukivaa suruali ya kubana tulikua tunaitaga 'm-bato' unaonekana muhuni. Kiko wapi sasa
Yaani zipo za aina tofauti zenye kuvutia kwa wembamba na wanene. Unaweza vaa casual au official. Kila zama na kitabu chake[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji38] amevaa mmbato mtoto wa mama Jeni hana adabu kabisa anaonesha maumbile yake[emoji28] leo zinavaliwa za kuchanika kama dekio na hamna mtu anaongea.