Tukumbushane visa vya kwenye Biblia ambavyo ni funzo pia kwetu

Kuna yule jamaa aliwapelekea moto mabinti zake wawili anaitwa Loti. Biblia haisemi lakini atakuwa alipiga nao 3some

SOMO: Mabinti wawe makini mbele za baba yao waepuke kuvaa mavazi ya mitego
Jamaa alikua najihisi yupo peponi maana kamla mama bado aliku anachepuka na bado kangojea mayai yake ya pevuke nayo kayala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2. Petro pamoja na kuaminiwa kote lakini aliweza kumkana yesu Mara tatu

Hili tayari ilishapangwa na Yesu alisema kabisa..kabla jogoo hajawika utanikana mara tatu.
Mungu ndiye hupanga kila tunachofanya hapa duniani na kama hapangi basi anajua kila hatua ya maisha ya kila mwanadamu.
Petro hata angefanyaje asingeweza kuikwepa hii dhambi.
Ndio maana kuna wakati mtu unatafakari hizi dhambi unahisi kwamba ni Mungu mwenyewe aliziweka..
 
Hakika cute
 
Back
Top Bottom