Tukutane hapa tuliowahi kuvamiwa na majambazi tupeane uzoefu/ushuhuda

Asante mkuu...Nina tabia kama yako[emoji848][emoji848][emoji134][emoji134]...mziki mkubwa, na nimeshapewa onyo sisikii!

Hapa nimesoma hili bandiko uwiii kuanzia leo naacha serious [emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
usiogope sasa...wewe jiandae tu kwa lolote, usisahau kuweka sime pembeni kwenye mlango wa gari.
 

Its bygone, kukosoa, kulaumu haitusaidii kwa sasa.. Siku hiyo bahati ilikua upande wetu tu. Ila lazima ukubali kuwa kuna watu wanamachale ya kufa mtu, atakachoamua kufanya ndicho kitakachokua sahihi. Alinambia kabisa wenye haya magari wamepaniki na watakua wamekimbilia Porini na ni kweli walivotoka wakati wanaelezana walieeleza hivyo hivyo kwamba baada ya tukio kuisha kila mtu alikula kona yake.

Btw, we ungefanyaje Mkuu? Let's say huelewi tukio kama linaendelea ama limeisha? Kwasababu chochote ilikua lazima kifanyike. Usijekua kama mimi niliyesuggest tukae tu tusubiri wavunje vioo hehehe!
 
Nimecheka sana kama vile ni mazuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Nisingeshuka kwenye gari aisee hapo ningezima taa tu na kulock milango japo huwa wanakuwa na vishoka kwa ajiki ya kuvunja vitasa..
Ndio mana mwanaume inatakiwa uwe unajua kupiga drifting kwa hizi gari ndogo kuna wakati unapiga uturn kurudi ulikotoka kuna wakati inabidi usimame uwe mpole unawasoma akili zao wanataka kuua au kuchukua mali..
Miaka ya nyuma kidogo kuna mzungu aliuliwa pale kitonga naskia alikuta magari yametekwa tena mchana akivyofika pale akashuka kwe ye gari yakei na mguu wa kuku jamaa walimmaliza palepale
 
Ulijitahidi sana ulitoa msaada mkubwaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee kama uko maeneo ya mtongani kwa azizi ally na umepata breakdown au unapancha tembea ivo ivo kwasababu yatakayokukuta utasimulia kwanzia saa23;00hrs

Sent using Jamii Forums mobile app
Daaaah noma sana bro, maeneo yale ni hatari sana. Pia kukiwa na folen vibaka pale wana michezo ya kuchomolea watu simu zao via madirishan kwenye gari. Hapo kuanzia kwa azizi ally kushuka kwenye mteremko mpaka mission. Sehem ingine ni kule maeneo ya bandari kukiwa na folen kama unachezea simu funga dirisha la gari.
 
Hayo yalikuwa majambazi sugu...so kufika kituoni yangetambuliwa!

Unaweza kuta sio waliochukua simu ya huyo mama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dah nimekumbuka mbali sana hilo jiwe fatuma
 
Umenichekesha sanaa ahhaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilikuwaje funguka tupate kujifunza!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee[emoji848][emoji848][emoji848]...asee nazidi kaogopa[emoji134]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787]uwiiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…