Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
πππππ€ΈNi Korongo bwana maana hata Flamingo ana afadhali.
Vipaja kau kau alaf anajichetua jamani atulie tuVipaja Kama ndege khanga..lols
issue ni sanduku la kura zingine zote porojoBagosha hilo dance ni fire
Tulia Akson anaendelea kusaka kura kwa kila hali na mali.
View attachment 1485364
kafunika wapi ndugu yanguTulia Akson anaendelea kusaka kura kwa kila hali na mali.
View attachment 1485364
Tulia anashindwa mapema asubuhi kwa ka-umati hako.Tulia Akson anaendelea kusaka kura kwa kila hali na mali.
View attachment 1485364
Kwa hiyo mbowe naye rukusa kulewaAliyekwambia PhD holder haruhusiwi kucheza mziki ni nani? Poor mind!
Life go zone....Betina kwisha habari zake amebakia kuruka ruka tuView attachment 1485421
πππKwamba tulia anazijua BataππLife go zone....
Flip side of the coin, Tulia ni down to earth person! Anainjoi life...
Kibaya zaidi hata akiinjoi life kuna watu wanaumia sana, yaani wanakaribia kupasuka kwa hasira na chuki...hii ni hatari!
Ndio nini?πππKwamba tulia anazijua Bataππ
Mbaya zaidi atasaidiwa na dola kushinda huo ubunge.Go Tulia. Wanawake tunaweza. Phd holder vs Ordinary level certificate.
Ila kwenye siasa Elimu ya mkoloni ni useless. Kama PhD holder anajidhalilisha namna hiyo kisa ubunge.
Tulia Akson anaendelea kusaka kura kwa kila hali na mali.
View attachment 1485364
Life go zone....
Flip side of the coin, Tulia ni down to earth person! Anainjoi life...
Kibaya zaidi hata akiinjoi life kuna watu wanaumia sana, yaani wanakaribia kupasuka kwa hasira na chuki...hii ni hatari!
HahahaGo Tulia. Wanawake tunaweza. Phd holder vs Ordinary level certificate.
Ila kwenye siasa Elimu ya mkoloni ni useless. Kama PhD holder anajidhalilisha namna hiyo kisa ubunge.
UbungeUnataka cheo gani?
Mwaka wa uchaguzi tutashuhudia mengiAlipokuwa akifundisha UDSM alikuwa hamfahamu hata mondi.