Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Paskali ..hongera..Ila ,by the way kwanini unapenda kuvaa nguo oversize au ndo uko mbele ya wakati!?Wanabodi,
Hii ni Breaking News kutoka Bungeni Dodoma!. Baada ya Rais Samia kusema huwa anaingiaga JF, kutusoma na kubaki akicheka. Leo kwa mara ya kwanza mtandao numero Uno Tanzania, Jamiiforums, leo imetajwa rasmi Bungeni na Spika wa Bunge Dr. Tulia Ackson " Vyombo vya Habari Mwananchi na Jamiiforums, Tunawategemea" Kutusaidia Kuihabarisha Jamii taarifa sahihi za Bunge"
Naifuatilia clip
Mimi ni member wa JF kwa muda wa miaka 15 sasa, if imekuwa ikifanya mengi makubwa mazuri kuisaidia serikali na viongozi wake but was barely or hardly recognised, hivyo hii mention ya Spika, it's good kwa JF.
Sisi members wa jf tuwe makini zaidi, kama Mkuu wa Mhimili Mkuu, Rais wa JMT amesema anasoma JF, leo Mkuu wa Mhimili wa Bunge ametutaja, bado Mkuu wa Mhimili mmoja tuu wa Mahakama, of which its just a matter of time.
Mimi kwa niaba yangu binafsi kama mwana JF, nakiri kuwa niko very proud to be a JF member.View attachment 2576131
View attachment 2576132View attachment 2576133
Nichukue fursa hii kumpongeza Mkuu Maxence Melo na timu yake ya JF kwa kazi kubwa na mzuri ya uhabarishwaji wa jamii, upashanaji habari, na kutupatia fursa adhimu na adimu ya kutupatia mawanda ya freedom of speech and expression kwa sisi members.
Pia natoa shukrani zangu kwa JF kutu recognizes baadhi yetu na kutupatia zawadi na bahasha nene ya chochote kitu!.
Thanks JF,
God Bless Mkuu Maxence Melo
God Bless JF Staff
God Bless JF Members
Mungu Ibariki Tanzania
Paskali
Hakika JF inazidi kupaa!
Alianza Rais Samia, kwenye kongamano la Chadema, akiitaja JF, na hivi leo nimemsikia mwenyewe Spika wa Bunge, Tulia Ackson, akiitaja JF, kuwa ndiyo kinara wa kutoa habari hapa nchini👏👏
Spika wa Bunge kutaja Mwananchi na Jamii Forums tena akivitaka kutoa habari kwa weledi na kuepuka upotoshaji sio suala la bahati mbaya, ni kwa sababu kwa mujibu wa Bunge, Mwananchi na JF Walipotosha.Spika wa Bunge, Tulia Ackson ameongelea vyombo vya habari na kuwaomba waandishi hawapendezwi na habari za upotoshaji kuhusu Bunge kwasababu liko wazi.
Tulia kasema wanawategemea Mwananchi, JamiiForums kuwapelekea wananchi taarifa sahihi na si za upotoshaji, amesema haipendezi hasa kama waandishi hawajanyimwa taarifa.
Ndiyo maana umekuja mbio mbio
Spika wa Bunge, Tulia Ackson ameongelea vyombo vya habari na kuwaomba waandishi hawapendezwi na habari za upotoshaji kuhusu Bunge kwasababu liko waz...
Wanabodi,
Hii ni Breaking News kutoka Bungeni Dodoma!. Baada ya Rais Samia kusema huwa anaingiaga JF, kutusoma na kubaki akicheka. Leo kwa mara ya kwanza mtandao numero Uno Tanzania...
Hawa niwafanya Kazi wake?wanao tuban😄
Mkuu Mwenzangu ninakuunga mkono maneno yako unayo yasema hata mimi ni Member wa zamani sana karibu Miaka 14 iliyopita. Tuwe tunatoa habari zinazo husu bunge ziwe habari za uhakika sio kuleta mambo ya kufitinisha bunge na Wananchi tuwe makini kutoa taarifa za habari za bunge kwa Wananchi. Kwani viongozi wakuu wa nchi wanatufuatilia nyendo zetu hapa Jamii forums asante sina zaidi ya hayo niliyo yasema .Wanabodi,
Hii ni Breaking News kutoka Bungeni Dodoma!. Baada ya Rais Samia kusema huwa anaingiaga JF, kutusoma na kubaki akicheka. Leo kwa mara ya kwanza mtandao numero Uno Tanzania, Jamiiforums, leo imetajwa rasmi Bungeni na Spika wa Bunge Dr. Tulia Ackson " Vyombo vya Habari Mwananchi na Jamiiforums, Tunawategemea" Kutusaidia Kuihabarisha Jamii taarifa sahihi za Bunge"
Bahati sana wangenichuna ngozi hawa mastupid.yaani kama wewe sasa hivi sijui ungekuwa wapi, shukuru Fake ID.... 🤣
Uzuri wa JF ni kuwa unaweza tema sumu zako unasepa zako.
Fake ID zinasaidia wengi sana.
Korido za JF ni nyingi humu tunapigana vikumbo na watu wazito, wanyonge, matajiri kwa masikini, wenye mamlaka na wasio na mamlaka, mapadre jwa wapagani. Majambazi na vibaka bila kusahau matapeli.
Kifupi ni kama ka state /society fulani hivi inayoishi mtandaoni
Sina uhakika kama kuna chombo cha habari kinaizidi jamii forum. Maana hiki ni chombo cha wananchi
JF ni news media au platform tu ya kila mtu kujiwekea habari??