Tulilalamika sana siasa kuingilia Utendaji. Sasa tumeanza kuvuna matokeo yake

Na zile kauli za apende, asipende, ndio utajua watanzania ni zaidi ya makondoo.

Hawa mbwa wanatuona sisi wote ni mazuzu.
Kuna mamba moja nzee inazunguka nchini kuzidi kuharibu maono mema ya watanzani. Inatembea na msururu wa magari ikisaga pesa kukusanya watu. Agenda ni kuwaeleza watanzania ubaya wa vyama vya upinzani. Bullshit.!!!
 
Mimi kinachoniuma kwenye hili taifa ni the so called the state vile jamaa wanavyofanya compromise na wanasiasa kwenye madudu yao wakiogopa kuwawajibisha Kwa sababu ya uhuru wa kikatiba uliopo!

Hawa jamaa wangekua pro active mapema hasa kipindi Cha pili Cha mkapa tukapata hiyo katiba mpya Leo tungekua na uwezo was uwajibishaji was viongozi walioharibu hili taifa la uchawa!!

Swala la bahima si tatizo kihivyo Bali katiba ingehakikisha anaekuja awe msukuma ,mtutsi wa kyerwa au vinginevyo asiharibu kama pale America!!


The state imelea uozo Sana kiasi kwamba ccm chama changu kinaonekana ustawi wake ninmuhimu kuliko Taifa yaani typo tayari kuvunja Sheria za jamuhuri ili kulinda Chama na mafisadi viongozi waliopo chamani!!

SIASA HAIPASWI KUWA KAZI YA KUTAJIRIKIA BALI UADILIFU NA UZALENDO,MAPATO YA KWENYE SIASA YAPUNGUZWE. YAENDANE NA UHALISIA WA UCHUMI WA NCHI NA WANANCHI NA SIO KUPIGA DEALS KAMA SASA!!
 
Tanzania tumeshapotea.

Kama wanaoibeba CCM hawajaamka hii nchi ndo inaenda kufa kabisa.

Tuesabu tu siku.
Kuna yule aliyemuomba Mwenyekiti awapishe wajadili zawadi yake angekuwa na support kubwa
 
The State ni akina nani ??!
Na wanapatikanaje ???!
Wanawekwa au wanateuliwa ??!
Na nani anakuwa Boss wao ??!
 
Kuna yule aliyemuomba Mwenyekiti awapishe wajadili zawadi yake angekuwa na support kubwa
Alipotoa hoja akapigiwa makofi mengi sana hiyo ilikuwa ni kiashiria kwamba wajumbe wameikubali hoja !
Lakini Mwenyekiti alipoikataa hiyo hoja The same wajumbe wakapiga makofi mengi mengi sana kuliko walivyompigia mtoa hoja wa kwanza 😅😅🤣 !

Hapo unaweza ukaona who are these so called Wajumbe 😳 !!
 
Huko Jeshini ndio hamna kitu sababu siasa imeingia jeshi limekuwa sio kuandikishwa bali limekuwa ajira. Ahahahahaaa.

Cha ajabu ndani ya jeshi ni ccm na ccm ni Jeshi, yaani hata ukitamka neno au jina la Tundu Lissu utafuatiliwa na wanojiita usalama ndani ya jeshi na utaundiwa mizengwe.

JWTZ ni jeshi la ccm, na ikitokea vita hata na rwanda tunaweza pigwa kama paka aliyekula mayai.

Kipindi cha 2016 hadi 2021 wanajeshi wengi walisingiziwa kujihusisha na siasa au kumtukana magufuli. Iwe ni kwa kusoma story au ku comment ujumbe huko kwenye mitandao ya kijamii.

Jeshi limeozaaa kabisaa.
 
Mfumo wa Maamuzi wa Tanzania umeshakuwa fully penetrated na Majasusi wa Bahima Empire. Inasemwa sehemu nyeti zote zimeshakuwa Penetrated. Hadi sasa Naibu PM wa TZ ni product wa Bahima Empire. Na onasemwa BOT, Hazina, Mipango kote wamejaa wao.
Duh!..
 
Tatizo lilianza kwenye utawala wa Magufuli.
I hate that devil
Imagine wote waliofeli kwenye kura za maoni za ubunge CCM 2015 aliwapa nafasi za kiutendaji serikalini
Pumbavu mkubwa wewe uchawa ulianza enzi ya Kikwete anagombea urais akawamtumia Tido Mhando wa BBC kumuumbia sifa na kuendesha kura za maoni feki..baada ya kuingia madarakani akamtumia Prince Bagenda kuandika kitabu cha "Tumaini lililopotea" miaka michache watu wakashangaa mambo yanayoimbwa kuhusu Kikwete mbona yalikuwa tofauti na utendaji kazi wake ?
 
Kuna haja ya kutokea vijana wanaofikiri vizuri kama kina Tamimu na kina Kapteni Kadego huko JWTZ kama ndo wameingia kwenye ujinga wa kupelekeshwa na wanasiasa namna hii.
 
Kuna haja ya kutokea vijana wanaofikiri vizuri kama kina Tamimu na kina Kapteni Kadego huko JWTZ kama ndo wameingia kwenye ujinga wa kupelekeshwa na wanasiasa namna hii.
Hilo Squad walikuwa wamejipanga vizuri km sio kutibuliwa na yule Dreva taksi leo tusingekuwa na CCM.. nakumbuka Mjeshi Eugene Maganga alikuwa akija likizo pale Itobo Nzega.. akilewa pombe alikuwa akiropoka kuwa anakwenda kuwa na cheo kikubwa katika nchi ya Tanzania ... lkn haikuwa hivyo..
 
CCM, Oops Imetuchosha Ila Mwisho October Hii 2025
 
Ni maombi yangu litokee sasa na lifanikiwe. CCM imetufikisha pabaya sana kwa kulewa kwao madaraka
 
Unapata wapi muda wakuandika gazeti refu hivyo lililojaa shithole tupu!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…