Tulilalamika sana siasa kuingilia Utendaji. Sasa tumeanza kuvuna matokeo yake

Tatizo lilianza kwenye utawala wa Magufuli.
I hate that devil
Imagine wote waliofeli kwenye kura za maoni za ubunge CCM 2015 aliwapa nafasi za kiutendaji serikalini
Tuweni wakweli, enzi za Magufuli watendaji wa serikali walikua wakifanya kazi, waziri wa maji kwamfano, enzi za Magufuli kweli alikomesha mgao wa maji, wa umeme as well; hospital ukienda una uhakika wa kuhudumiwa, hata kama dawa zilikua hazitoshelezi but kuna kazi ilikua inafanyika. Tutamkaumu Magufuli kwasababu ya chuki zetu but the guy showed the way and he made a lot of transformation in our government and it's organs. RIP JPM
 
Kabisa 🙏👍
 
Walio ndani ya CCM wenye kutaka Katiba mpya ni wengi kuliko wasioitaka,

TUNDU Lissu aanze tu, watamalizia wengine.
 
Walio ndani ya CCM wenye kutaka Katiba mpya ni wengi kuliko wasioitaka,

TUNDU Lissu aanze tu, watamalizia wengine.
Tusimpe mzigo huu Tundu Lissu tu. Watanzania wote tunapaswa kuidai Katiba Mpya kwa nguvu zote maana hapo ndipo ulipo mzizi wa kupona kwetu kama Taifa
 
Tusimpe mzigo huu Tundu Lissu tu. Watanzania wote tunapaswa kuidai Katiba Mpya kwa nguvu zote maana hapo ndipo ulipo mzizi wa kupona kwetu kama Taifa
Ni Kweli,

Watanganyika walipenda uhuru, lakini ilihitajika Nyerere na wenzie kuongoza njia,

Likewise kwenye Katiba mpya watu committed Wana mchango mkubwa.
 
 

Attachments

  • IMG-20250128-WA0054.jpg
    142.5 KB · Views: 1
CCM ilo ndo lilikua anguko la CCM walitumia chama cha Mapinduzi kama Kinga ukiwa muhamiaji haramu unakadi unageuka kua mtanzania ni aibu sana
 
Nadhani yalianza wakati wa Nyerere. I wonder how a devil can hate another
Hata siasa maofisini zilianzishwa na Mwalimu hadi kukawa na ofisi za chama. Mwanzoni ofisi hizo makazini ziliongozwa na wafanyakazi wa ngazi za chini. Baadaye wakuu wa idara na mashirika walichoka kuitwa na chama kuhojiwa na kupewa maelekezo na chama wakaingia wenyewe kwenye uongozi wa chama. Hapo ndipo mambo yakanoga.
 
Mkuu umeongea point kubwa sana, this country has damaged beyond repair. Kingine cha kukuongezea hapo ni mfumo ya Auditing umeingiliwa na siasa. Hakuna cha maana kinachofanyika ndio maana fedha zinaliwa na bado uozo unaowekwa hadharani ni sehemu ndogo sana.
Kuanzia kwa Mdhibiti mpaka bunge hakuna mwenye time
 
Duh!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…