Tulimwambia achana na mambo ya kuoa, hakusikia cheki yaliyomkuta

Sawa mkuu ila nahisi unakakitambi[emoji3][emoji3]
Nakimbia Km 15 kwa siku 5 za wiki (kupumzika siku 2).

Nimehudhuria marathon nyingii ndani ya hii nchi.

NAKUAJE NA KITAMBI.

#YNWA
 
Mengi unayagundua ukiwa ushamuweka ndani.

#YNWA
 
Pamoja na uzi wako wote msimamo wangu uko pale pale "MWAKANI NAOA"
 
"Vijana wengi hatujui kwann tunaoa"

Mkuu umeongea point ya msingi sana boss.

Tupo very emotional mpka tunashindwa kujiuliza kwanini nipo na huyu mtu??

Future yangu na huyu niliyenaye ipoje??

Nini nahitaji katika ndoa hii??

Vijana tumekuwa wajinga kweli kuendekeza sababu za kijinga za kuingia katika ndoa.

Yaani unaingia katika mahusiano, Cha kwanza unawaza ngono.

Muombe Mungu ujue kusudi lako (Purpose) katika maisha kisha jinoe kila kukicha kuishi kusudi hilo na haya mengine yatakuwa kama nyongeza.

Siwezi ruhusu mahusiano yanipotezee focus yangu katika maisha.
 
What the https://jamii.app/JFUserGuide....! Jamaa sijui atakuwa anapewa nini aiseee
 
Huenda alikurupuka, ati wanasema miaka 30 si umri wa kuoa.
Wanafikiri kupata mke ni kama unaenda kununua nyanya gengeni.

Hao ukiwaangalia kwa jicho la akili utawaona wana matatizo ya Akili.

Sisi wengine tunakaribia kufikisha wake wa nne. Kuoa raha asikwambie mke, na raha zaidi Mola akiwawafikisha mkadumu Ndoani.
 
Walisema "wanaume hufa mapema kwasababu hawaongei, wanajikaza na mateso yao ya duniani hivyo hupelekea kufa mapema"

Hivi hapo NIMELALAMIKA au nimetoa GENERAL RULE ili wewe utafute exceptions?

#YNWA

Lkn sidhani kama huyo msemo ulimaanisha Wanaume wa Watanzania, labda Muzungu kwa maana hapa Bongo wanaongoza kulia lia na kulaumu siku zote ni Wanawaume, kwanza kwa hapa Bongo unaweza kuugeuza huo msemo na kuweka Wanawake, kwani wanawake wa Bongo wanabeba mizigo sana, ...
 
Na sisi tuliooa tukiwa na miaka 23 na mpaka leo tunaishi vizuri pamoja na changamoto ambazo hata waliooa wakiwa na miaka 50 wanakutana nazo tusemeje.

Itoshe kusema watu watakuambia wanawake Ni wabaya kwa kukupa mifano mitano ya watu ambao ndoa zao zimeshindikana au zinamatatizo makubwa, lakini watajifanya hawazioni ndoa mia moja ambazo ziko poa including ndoa za wazazi au ndugu zao wenyewe.

Mende akiangusha kabati Ni habari kubwa ila kabati likiangusha mende no one cares
 
Hawa sio wanaume ..ni vijana wa kiume waliokamata ela kidogo na kuleta ulimbukeni...sijui wazazi wao wangesema hivi kama hata kuzaliwa wangekua wamezaliwa,,ah a
Exactly, Hawa Ni watu ambao wanafikiri kuona Ni kunategemea umri, Ila wanashindwa kujua kuwa kuoa kunategemeana ukuaji wa akili ambao Kila mtu yuko tofauti.

Unakutana na kijana ana miaka 30 lakini ukimuangalia vizuri unagundua kuwa Hana akili ya kuishi na mwanamke. Lakini yeye anaona wanawake ndiyo wanamakosa
 
Amen[emoji122][emoji122]
 
[emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…