Tulimwambia achana na mambo ya kuoa, hakusikia cheki yaliyomkuta

Wewe sababu system ilikuhitaji (Bila Kutarajia).

Timbwili ni kwa wanao tarajia na kupanga kuoa.
Possible chief.Na hili pia huwa nawaambia washkaji na hata humu huwa naandika "usiingie kwenye mahusiano au usitafute mwanamke kwa makusudi ya ndoa(kwa wanaume tu ..kwa wanawake mimi sijui).
Kuwa na affair ..ishi maisha yako kwa utimamu wa akil zako ukiomba mungu.enjoy....the rest will take care of themselves 😎😎😎
 
Nakazia hapa,wengi huwa wanabugi kwa kutoyajua haya.
Utakuta mtu anaoa mwanamke ambaye walikutana naye mlimani city kwenye maeneo ya matumizi halafu anatumia nguvu nyingi ili akubaliwe anategemea atatulia naye maishani hiyo ni kujidanganya.
Mwingine anatafuta pisi kali ambaye alikuwa anagombaniwa na mabrothermen mbalimbali kisha anatumia nguvu ya pesa kumuwin akitegemea atadumu naye maishani wazae watoto na kuzeeka wote,hii ni kujidanganya.
Baada ya hapo wakishatendwa wanajifanya kuja kutoa somo na ushuhuda mbele ya sisi kaka zao kwamba ndoa si kitu muhimu.
Yaani kitu ambacho kilianza kufanywa tangu enzi na enzi miaka hiyo kabla hata akina yesu hawajazaliwa halafu leo hii eti vije vigundue vichalii vilivyozaliwa mwaka 1992 kwamba ndoa sio chaguo sahihi kwa binadamu.
Hakika hii ni kichekesho cha karne
 
mkuu umewaza kama mimi aisee.
Yaani jinsi ninavyowachakata wake za watu halafu wengine mijimama ya heshima muda mwingine huwa nashtuka na kujiuliza ina maana wife naye kuna machalii wanammega nini
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka sana na comments za wanaume humu
 
Kwamba unaendelea kulala kitanda kimoja na mwanamke ambae jana ulimfumania kalala na baharia mwengine
Wanyakyusa wanasema "nyeeee"

#YNWA
Hili huwa tunalifanya kabla ya kutokea, na likitokea majibu tunayo yaani tunajua la kufanya.
 
Nakimbia Km 15 kwa siku 5 za wiki (kupumzika siku 2).

Nimehudhuria marathon nyingii ndani ya hii nchi.

NAKUAJE NA KITAMBI.

#YNWA
Hahaha sawa mkuu nilivoona unapenda sana bia na nyama nikajua Ndio wale wenzetu wenye tuvitambi.
 

Uoga wa kiboya kiasi iki mwanamke hawezi kukuheshimu ata siku moja.
Mim nipo napata bia zangu niambie rudi nyumbani saa hii.
Hahaa mim hapan ukwel upole ukizidi ndo unaambiwa vitu kama ivyo
 
[emoji3516]
WE' JAMAA SASA HIVI ONGEZA CHAI-
BWEGE WEWE!!!
 
Kuoa imekuwa km kucheza kamari siku hizi

Wanaopiga bingo wachache wanaouziwa mbuzi kwenye gunia NDo shaziii...

Mungu tunusuru wanaume [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…