Rabonn
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 5,789
- 11,106
Sanaaa mkuu.Mbaya zaid ikifikia hatua ya kufumaniana live live namna hiyo.Afadhal mkae kuhisiana tu bila proof (umakini) 😁Tatizo ni hii DHAMBI YA USALITI.
Hii haisameheki.
Inaumaa sanaaa.
#YNWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sanaaa mkuu.Mbaya zaid ikifikia hatua ya kufumaniana live live namna hiyo.Afadhal mkae kuhisiana tu bila proof (umakini) 😁Tatizo ni hii DHAMBI YA USALITI.
Hii haisameheki.
Inaumaa sanaaa.
#YNWA
Possible chief.Na hili pia huwa nawaambia washkaji na hata humu huwa naandika "usiingie kwenye mahusiano au usitafute mwanamke kwa makusudi ya ndoa(kwa wanaume tu ..kwa wanawake mimi sijui).Wewe sababu system ilikuhitaji (Bila Kutarajia).
Timbwili ni kwa wanao tarajia na kupanga kuoa.
Hata mimi ndio nimejiuliza baba zao na mama zao wangekuwa na mawazo kama haya hao wangefikaje duniani na kuanza kuropoka huu utopolo.Hawa sio wanaume ..ni vijana wa kiume waliokamata ela kidogo na kuleta ulimbukeni...sijui wazazi wao wangesema hivi kama hata kuzaliwa wangekua wamezaliwa,,ah a
Fanya 75 huku unamsikilizia Sir GodBora uoe ukiwa na miaka 68 maana mtasumbuana kidogo tu alafu mtakufa.
What the ****....! Jamaa sijui atakuwa anapewa nini aiseee
Sasa na hapo bado hajaoa rasmi hizo ndio sababu tunawahi kufa!
Nakazia hapa,wengi huwa wanabugi kwa kutoyajua haya....Vijana wengi hatujui kwann tunaoa,ndomana yanatufika mambo ya aibu ambayo atukujua kama yatatufika...
Naomba tuelewe kidogo kuhusu Hawa wanawake..
1. Sio kila mwanamke ana sifa ya kuwa mke.
2. Hakuna kitu kinachoweza kumbadili mwanamke duniani,kama mwanamke anatabia mbovu...usije ukajidanganya eti atabadilika eti sababu unapesa.
3. Usije ukaoa mwanamke sababu unapesa nyingi.
4. Oa mwanamke mwenye penzi la kweli kwako,ata Kama huumpendi we oa tu.
5. Usioe mwanamke aliekwisha kukukataa kisa alikuwa na mwanaume mwengne uko nyuma,so baada ya kuachana na huyo mwanaume ndo kaja kwako...
6. Usitumie kitu kumshawishi mwanamke umuoe,Ila tumia kitu kama unataka tu kupita nae.
7. Usioe kwa kumuonea huruma mwanamke,Hawa viumbe hawaoneleki huruma na husahau wema wote kwa kosa moja.
mkuu umewaza kama mimi aisee.Kwa jinsi wake za watu wanavyoslide kwa kasi ya 5G kwene dm zetu wakitaka faraja kwa vile wanavyofanyiwa na waume zao me naogopa sana, as for the moment mwanamke mmoja nlikuwa napiga keshaolewa kanizamia dm anataka nitafute siku nikamkaze mumewe mvivu kukaza na huyu mwanamke nshamkwepa sana toka aolewe daaah, anasema mvua ya mjini imempa mihemko ? Najiuliza maswali mengi ivi na mimi mwanamke wangu anajinyegesha kwa mabaharia hivyo hivyo ? Daaah inauma kwakweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka sana na comments za wanaume humuAisee aisee nna jamaangu ye hajaoa ila kamvuta huyo mwanamke kiaina, anapigiwa video call kuliko hata call za conference za zoom, Jamaa kakatazwa kuhangout na mimi, jamaa hawez sasa sababu me ni mwanae wa nguvu, tunaweza enda sehemu kidume nimeagiza bucket ya mambo yetu mara video call ya whatsapp inaingia akipokea ujue kama zile bucket ni zaid ya moja inabid nizifakamie alone jamaa anatoka spidi ya jeti anawah home .
sample ya maongezi ya video call
Mwanamke : Hallow beb, Uko wapi ? na kwa nani ?
Jamaangu : Hallow nipo ilala , nipo kwa jamaangu.
Mwanamke : Ebu mwonyeshe jamaako kwene video call nimwone.
Jamaangu: Yupo ndani huko upande wa pili kuna ishue anafanya, (inabid jamaa adanganye sababu nikionekana mimi ni balaa)
Mwanamke: Unarud saa ngapi ? Naomba urudi sasaivi
Jamaangu: Kiongozi me naenda, anaaga kinyonge ila anachomoka spidi ya jeti,
NAMWONEA HURUMA JAMAANGU KAFANYWA ZOMBIE, ivi wanawake wanafurahia nini jamaazao wakiwa mazombie kiasi hicho ujue watu au washkaji zako wanakuwa hawakwambii ila wanajua we ni zombie na mwisho wake wanajua ni mbaya ila wanasubiri mpart ways ndio waseme, ila mimi mwanamke hatak kunisikia kisa namwambia jamaa ukweli...
Haya ni maneno ya mkosaji.Hata vitabu vitakatifu havijamuelewa mwanamke......huna uwezo wa kudeal na mwanamke.....kama ni uchawi anakuroga kabla wewe hujamroga....huwezi kula peke yako mkuu
Hili huwa tunalifanya kabla ya kutokea, na likitokea majibu tunayo yaani tunajua la kufanya.Kwamba unaendelea kulala kitanda kimoja na mwanamke ambae jana ulimfumania kalala na baharia mwengine
Wanyakyusa wanasema "nyeeee"
#YNWA
Hahaha sawa mkuu nilivoona unapenda sana bia na nyama nikajua Ndio wale wenzetu wenye tuvitambi.Nakimbia Km 15 kwa siku 5 za wiki (kupumzika siku 2).
Nimehudhuria marathon nyingii ndani ya hii nchi.
NAKUAJE NA KITAMBI.
#YNWA
Aisee aisee nna jamaangu ye hajaoa ila kamvuta huyo mwanamke kiaina, anapigiwa video call kuliko hata call za conference za zoom, Jamaa kakatazwa kuhangout na mimi, jamaa hawez sasa sababu me ni mwanae wa nguvu, tunaweza enda sehemu kidume nimeagiza bucket ya mambo yetu mara video call ya whatsapp inaingia akipokea ujue kama zile bucket ni zaid ya moja inabid nizifakamie alone jamaa anatoka spidi ya jeti anawah home .
sample ya maongezi ya video call
Mwanamke : Hallow beb, Uko wapi ? na kwa nani ?
Jamaangu : Hallow nipo ilala , nipo kwa jamaangu.
Mwanamke : Ebu mwonyeshe jamaako kwene video call nimwone.
Jamaangu: Yupo ndani huko upande wa pili kuna ishue anafanya, (inabid jamaa adanganye sababu nikionekana mimi ni balaa)
Mwanamke: Unarud saa ngapi ? Naomba urudi sasaivi
Jamaangu: Kiongozi me naenda, anaaga kinyonge ila anachomoka spidi ya jeti,
NAMWONEA HURUMA JAMAANGU KAFANYWA ZOMBIE, ivi wanawake wanafurahia nini jamaazao wakiwa mazombie kiasi hicho ujue watu au washkaji zako wanakuwa hawakwambii ila wanajua we ni zombie na mwisho wake wanajua ni mbaya ila wanasubiri mpart ways ndio waseme, ila mimi mwanamke hatak kunisikia kisa namwambia jamaa ukweli...
[emoji3516]Mama mzazi wa jamaa kaniambia nimtafute mchungaji jamaa akaombewe jamaa kagoma, just imagine we kama ni mdogo ake ukimwomba msaada wa fedha anakwambia umpigie demu wake atoe go ahead yeye ndio atume au anamtumia demu wake ndio akutumie wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kmmmk
Karibu kila m1 anapitia stage hiyo.. we subiri tu zamu ikufikieivi wanawake wanafurahia nini jamaazao wakiwa mazombie kiasi hicho
sio 40 ni 45Mkuu hapo kwenye 37 si hivyo ni 40 years boss!
Ndo Mana kuna kipindi cha uchumba... hcho ndo kipindi cha kuchunguzana vzurMengi unayagundua ukiwa ushamuweka ndani.
#YNWA