Tuliopiga sana pesa za udalali kwenye biashara na bado life gumu tukutane hapa

Kuna rafiki angu alikua anafanya kazi kuuza vifaa vya mazoezi msaani mkubwa akaenda kununua moja ya kifaa cha mazoezi kinauzwa 2M jamaa akamwambia 3 M msanii akalipia wiki haija isha kilizingua akarudi nacho maana warrant ipo kurud akamkuta boss kumueleza daah jamaa angu kibarua kikaota nyasi boss akamwambia tuna gawana faida wew si mfanyakaz ni business partner sasa
 
Miso?
 
Uwizi huu...
 
Ahhhaaa, leo nimemdaka mwizi wangu! Kumbe ndivyo ulivyonipiga? Sema tu na mimi nilikuwa na wenge la hayo mahela ya bure, maana na mimi nilitoka kumpiga mtu ndiyo maana hata sikuhangaika kuulizia punguzo!
 
Lakini c unajua hata maandiko matakatifu yanakataa hiyo kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…