Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Nlikuwaga ofisi Moja hivi Ina wafanyakazi watano tu. Lakini wakitoka nje kula au kuwa field Kila mtu anamkandia mwenzake kuwa jau mara fitna. Mara mjuajiii. Nikachunguza sana nikagundua hapa ili uwe salama Bora uwe neutral.Mkuu,unapoenda kufanya kazi kwenye ofisi yeyote ile,sikiliza tu maneno ya kuambiwa kua nani mbaya na nani mwema hapo kazini ila usichukulie serious au kumuhukumu mtu mpaka mtu huyo atakapokufanyia ubaya wewe au wema,sio rahisi kwa mtu kua mbaya kwa watu wote au kua mwema kwa watu wote,
Muhukumu mtu kwa jinsi atakavyo kutreat wewe kama wewe na sio kwa kusikia tu,mtu mbaya kwa wengine anaweza kua mwema kwako au mwema anaweza kua mbaya kwako,
Find the good in people and ignore the bad in them coz no one is perfect.
Kuna kijamaa kikawa kinajifabza ndo kiongozi pale lakin mshahara ukitoka anaitwa mwingine kabisa kwenda kusaini na kuruhusu hela zitoke.
Nilichokuja kugundua kni kuwa binadamu tuna rangi nyingi sana. Sijui kama kinyonga anatufikia