Tuliowahi kuchapiwa tukutane hapa.. ulichukua maamuzi gani? Binafsi yule jamaa aliyenichapia hatokaa asahau

Huwezi kunielewa sababu wengi kati ya hao uliokula ulitanguliza nyege baadala ya hisia, huyu mimi niliwekeza kila kitu kwake kihisia, kimwili, kiuchumi mpaka kiroho, sio mtu niliyefahamiana naye jana hapana tulishakuwa na mipango ya muda mrefu
Kaka mpaka ye kulombwa elewa hakukubali wewe, hakutaki we una fosii kaka demu akikupenda atakuheshimu kaka, ukiona amechagua mwingine pita hivi
 
Mwizi haibiwi!
 
Hivi huyo baradhuli akiwemo humu, anaweza akacomment chochote?

Ila ushujaa mliouonesha katika fumanizi hilo pamoja na huyo rafiki yako ni kule kudindisha huku mkiwa na huzuni, panic pamoja na hasira!

Sijaelewa jambo hilo linawezekanaje!
 
Hivi huyo baradhuli akiwemo humu, anaweza akacomment chochote?

Ila ushujaa mliouonesha katika fumanizi hilo pamoja na huyo rafiki yako ni kule kudindisha huku mkiwa na huzuni, panic pamoja na hasira!

Sijaelewa jambo hilo linawezekanaje!
Ukifumwa ndio utaamini hakuna kinachoshindikana chini ya jua
 
Ukifumwa ndio utaamini hakuna kinachoshindikana chini ya jua
Ninajua mambo hayo yapo, isipokuwa binafsi siwezi kudisa nikiwa nimefura kwa jazba hata kwa mwanamke!

Sasa unapodindisha kwa dume jenziyo, wadhani ni akili za kawaida za binadamu hizo?

Kama mlikula mihadarati kwanza ama kilevi chochote nitakubaliaba na wewe bila ya maswali swali.
 
Hakuna cha kushangaza hapo mkuu
 
Mihadarati ya kazi gani
 
Nilikitongoza kidem flani hivi kikanikubalia penzi kama lina wiki hivi nikakumbuka kumuuliza kama nimesahau kumuuliza kama ana mtu coz siku hizi wanafanya kama fashion kuwa na mahusiano na wanaume wawili wawili, kidem kikanambia hakina, nikawa napiga kutokea kwao , kumbe siku Moja Moja kinaenda Kwa bahasha wake wa miaka yote Mimi, sijui siku zikaenda nikashtukia mchongo kupitia sim yake, nikawa nasisitiza akawa ananambia kuwa haipo hivyo

Nimepiga piga kama miezi sita Saba , siku namtafuta Kwa sms usiku , naona sms blue tik na sms najibiwa na sim namba ingine, sikushtukia baadae nikashtukia kuwa yupo Kwa bwanah ake mwingine, nikamtumia sms mwenyewe akiwa sawa utampa nichat naye Kwa Sasa sitojibu sms Tena

Ndio mwamba akanipigia kumbe alikuwa anasoma mabalaha ya Whatsapp tuliyokuwa tunachat na kutumia a aisee ni laana

Jamaa alikuwa analia kama demu, anasema mwanamke alikuwa naye miaka kama minne nyuma huko kamuudumia sana, nikamueleza Hali halisi kuwa nilivyomtongoza nilimuuliza kuwa ana mtu au Hana akanijibu Hana

Jamaa aliniacha hoi alivyokuwa analia kweli Kwa hivi videmu vya Sasa unaweza kulia kweli Tena Kwa mwanaume mwenzako kabsa, videm ni vimapepe hatar
 
Nakumbuka nilikuwa nafahamu kila kitu,mpaka yule jamaa, mwajiriwa manisipaa ya kinondoni.
Ila sikufanya jambo lolote kwa yoyote ila nlihakikisha wanajua kwamba najua kisha nkakaa kimya.

Nafikiri, tukifumania anayekuwa na makosa ni mwenza wangu/ wako. Binafsi nafikiri ni sahihi zaidi kumalizana na huyo mwenza wako maana mchepuko wake ni wazi haukumlazimisha. Alimua kwa utashi wake. Makosa yanakuwa ni upande wake.
 
Hatuwezi kuamua mambo kwa mtazamo mmoja mkuu. Kila mtu anahandle situations kwa namna tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…