Tuliowahi kuchapiwa tukutane hapa.. ulichukua maamuzi gani? Binafsi yule jamaa aliyenichapia hatokaa asahau

Mwanaume kamili hutakiwi kupigania mapenzi ,, mke wako au mpenzi wako akienda kwa mtu mwingine means hakukubali kwanini usitafute mtu mwingine? Huna uwezo wa kurafuta mwanamke mwingine? Haya unakuta mtu ana demu naye siku akichukuliwa na mtu mwingine unalalamika unajua mwanamke ni looser kwenye mahusiano so nilazima aangalie maslahi yake hasa kuolewa ,, mwanamke yupo tayari kumkubalia mtu aliye tayari zaidi kuoa kuliko mtu aliye naye kwenye mapenz hata kama hampend ,, kwahiyo vijana mke wako akikusaili acha nae tafuta mwingine mambo yakupiga mwanaune mwenzio au kudhuru ni ushamba tena shukuru amekuonesha rangi halisi ya huyo uliye naye. Usipiganie mapenzi wala usipigane kwaajili ya mapenzi wanawake wapo wakutosha.
 
Hii stori nahisi kuna sehemu nyingine uzi tofauti na huu nimeisoma.

Ingekuwa miaka ile nachek video za ajabu ingeandika "watched"

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Hii stori nahisi kuna sehemu nyingine uzi tofauti na huu nimeisoma.

Ingekuwa miaka ile nachek video za ajabu ingeandika "watched"

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Niliiandikia uzi humu humu jf na naipenda sana kuisimulia , nashangaaga mpaka leo yule jamaa kunililia vile aisee na Sasa hivi amezaa naye mtoto mmoja, mtoto wao ana miaka 2

Na kidemu Huwa kinanitafuta ila binafs yangu nimeamua kutotaka Tena huduma yake , nimeamua kuwaachia maisha yao

Kwa sababu zangu za kimsingi, ila kidemu kinanitafuta sana na kinaniomba kije nikipasue nakataaga , simtak tena
 
ujinga
 
Kinachoshangaza watu wana njaa gani ya kulipwa 30k sjui laki ukamfir mtu tena wa kiume kuna mambo hayaingii akilini kikawaida

Nyote mafirauni yaliyojificha kwenye vichaka vya ndoa!!!!

Bora kufa!!!!! Damu ya mtu sio ya kuku isingenyamaza juu yenu!!!!
 
Muhimu mwanawane wee jua kushenyenta mbususu mbona utakuwa unajitombeaa tuu warembo na wake za watu. Yaani wanawake wanapenda kudingwa sawa sawa.

Ukweli ni kwamba ndoa za sasa ni wazinzi wastaafu wanaoana. Watu waliokosa sifa za kuwa mke na mume eti wanadanganyana kuwa wanaweza kuwa mke na mume
 
Tena wamejaa bwelele na wala hunanshida ya kuwaoa....wee kuwa na ndalama tuu utajigeggedea warembo mpaka usaze. Hawanaga noma kushare mboroooo ya kidume mwenye hela
 
Hiyo ni imani yako usiielekezee kwa watu. Wengine tunaamini tofauti na mafikirio yako kwahiyo usidhani kuna chochote kitanikuta.
 
Nakubaliana na wewe, ukiwa na pumzi nzuri, nguvu na maarifa na ukawa na fedha kiasi, mbona K utazikimbia mwenyewe.

Kwa idadi hii ya wanawake mi nikimuona mwanaume anazinguana na mwanaume mwenzake kisa mke namwona akili hana. Ameshakusaliti, si umuache tu kisha uchukue mwingine au lah anzisha mahusiano sehemu nyingine.
 
Ni mpuuzi tu ndo anaweza akagombana na mwanaume mwenzake kisa mapenzi. Assume unayemlawiti ana ndugu au na yeye ana uchumi mzuri, akisema alipe kisasi si anagharimu maisha yako?

Yamkini asikulawiti, akuvunje mguu au mkono, hilo ni pigo kubwa sana kwa mwanaume, ukishindwa tu kuingiza fedha na kupata ulemavu wa kudumu tayari hapo umeshaigharimu familia yako na hata ndugu na wazazi ambao wanakutegemea.

Pale Kigamboni kivukoni kuna kipofu mmoja, story yake iliwahi kuwekwa humu, jamaa alikuwa ni mzima kabisa, kisa mapenzi akapofuliwa macho. Unadhani ukiachana na yeye ndoto zake kufa, watoto wake, mke halali, ndugu na wazazi amewaweka ktk hali gani?

Haya mambo ya kisasi na kugombania mapenzi ni upuuzi wa hali ya juu sana. Ndoa haimfanyi mwanaume asiheshimu maamuzi ya mwanamke. Ameamua kumpenda mwanaume mwingine na akazini, fuata sheria kavunje ndoa, chukua mwingine au lah tafuta mwanamke mwingine maisha yaendelee.

Mimi naamini mleta mada kugongewa mkewe lazima aendelee kugongewa sababu mwanamke ameshaona mwanaume ni dhaifu sana na atataka agongwe zaidi ili kulipa kisasi kwa mwanaume kwa ushenzi aliofanya kwa mwanaume mwenzake.
 
shida siyo huyo jamaa shida ni huyo aliyekua manzi wako
 
Huwezi kunielewa sababu wengi kati ya hao uliokula ulitanguliza nyege baadala ya hisia, huyu mimi niliwekeza kila kitu kwake kihisia, kimwili, kiuchumi mpaka kiroho, sio mtu niliyefahamiana naye jana hapana tulishakuwa na mipango ya muda mrefu
we mjinga tuu, kama ni mwanaume kamili huwezi waza huo ujinga. huyo demu maana yake alikua hakufai wewe ndo ukikua unalazimisha
 
Niligundua kuwa mimi ni "kibamia " ikabidi nikae kimya. Kuna usemi kuwa "kitu usichokipata ndani ya nyumba yako, kitafute nje" labda nimpe talaka ili awe huru zaidi. Au niende kwa wachina??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…