Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,955
- 9,041
Kwahiyo siku 14 hatuendi kazini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo ukiandikiwa ndiyo na Wewe tena Msomi wa Sheria wa aina yake ndiyo asijiridhishe kwa Kuipitia Katiba ya nchi?Yeye ameandikiwa tu.
Gwajima yupo akafufue mtu. Mzee mnafiki sana wewe.Naomba kuwapa pole Watanzania wenzangu kufuatia msiba huu mkubwa wa Taifa letu. Vyovyote vile ilivyo, kama nilivyowahi kusema huko nyuma hakuna ombwe la uongozi Tanzania. Tumewahi kuondokewa na Waziri Mkuu akiwa madarakani, Makamu wa Rais, mawaziri n.k Huu ni wakati wa mapitio yetu. Taifa litaendelea kuwa salama na kwa pamoja katika maombolezo yetu tuondoe utata wowote ule; mama Samia Suluhu Hassan ameandaliwa na ndio sababu amekuwa makamu wa Rais mara hizi mbili chini ya Magufuli. Taifa liko salama mikononi mwake na tumwombee hekima, ujasiri, na kuthubutu anapoliongoza kupitia maombolezo ya kitaifa na hatimaye kushika usukani wa taifa letu.
Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu Mbariki mama Samia Suluhu Hassan
Amina.
WatanzaniaTukoPamoja.
View attachment 1728453
Pole Mm ulikengeuka kisa tu mahaba kea JPM na hukuwahi kukubali kuwa jamaa alikuwa wnakosea ,heshima yako ilishuka Sana JF kwa U turn hiyioNaomba kuwapa pole Watanzania wenzangu kufuatia msiba huu mkubwa wa Taifa letu. Vyovyote vile ilivyo, kama nilivyowahi kusema huko nyuma hakuna ombwe la uongozi Tanzania. Tumewahi kuondokewa na Waziri Mkuu akiwa madarakani, Makamu wa Rais, mawaziri n.k Huu ni wakati wa mapitio yetu. Taifa litaendelea kuwa salama na kwa pamoja katika maombolezo yetu tuondoe utata wowote ule; mama Samia Suluhu Hassan ameandaliwa na ndio sababu amekuwa makamu wa Rais mara hizi mbili chini ya Magufuli. Taifa liko salama mikononi mwake na tumwombee hekima, ujasiri, na kuthubutu anapoliongoza kupitia maombolezo ya kitaifa na hatimaye kushika usukani wa taifa letu.
Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu Mbariki mama Samia Suluhu Hassan
Amina.
WatanzaniaTukoPamoja.
View attachment 1728453
😂😂😂Mwenzio kesho Nina harusi Sasa nawaza hata picha sipati kwenda nataka na kuacha natakaMikononi mwa Mungu, hivi si tuombolezee nyumbani twende jumatatu kazini kwa uchungu tulionao tutaweza kugombea mabasi kweli asubuhi?
Kwa kosa moja tena la kimatamshi na huzuni hii ushamuhukumu hawezi kuongoza nchi?Huyo mama kwanza anasema siku 14 wakati ni 21. Mama huyu hawezi kuongoza nchi hii tuwe wakweli.
Huko kazini unaenda kufanya nini?Kwa hiyo watu hawatakwenda makazini?