amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,132
- 31,149
Jamani mbona mimi hunipi pole?Shemeji pole na msiba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani mbona mimi hunipi pole?Shemeji pole na msiba
Kabisa, aongoze kwa haki ili utawala wake upate heshima stahiki. Nadhani amepata funzo kuwa kiburi si maungwana. Natarajia atatenda haki sana iwapo ataongoza kupatikana katiba mpya ya wananchi.Mama Samia aifuate katiba, pia ki za watu ni muhimu kuzingatia...
Tanzania yetu ipo salama kabisa. Hilo halina shaka. Ila mama Samia afumue kabisa baraza lote. Na yeye pia ajikinge maana ninamuona havai barakoa kabisa na alivyo mnene. Other wise tutapoteza marais wawili ndani ya mwaka mmoja.
Jane na wewe una kazi? Au unamaanisha kudanga pale Corner bar?Kwahiyo siku 14 hatuendi kazini?
Huyo si ndiye alikuwa mmoja wa wenyeviti wa bunge la katiba,unakumbuka walichokifanya yeye na akina Jk?Kabisa, aongoze kwa haki ili utawala wake upate heshima stahiki. Nadhani amepata funzo kuwa kiburi si maungwana. Natarajia atatenda haki sana iwapo ataongoza kupatikana katiba mpya ya wananchi.
Wizi wa kura sio uzalendo.
Chozi linanibubujika kwa comment hiiWale masheikh wafikishwe mahakamani
Wale wasiojulikana waanze kusakwa kwani bosi wao ameExpireHistoria ilisha nukuu si wewe wala mwengine yeyote mwenye uwezo wa kufuta. Jua kuwa JPM ni mmoja wa watu na Kiongozi ambaye Mungu wa Mbinguni alimpigania sana kuhusu uhai wake. Kufa kwake kwetu sisi tunaomuamini Mungu wa kweli nawa Mbinguni twa amini ni kibali na mapenzi yake. Hivyo twa mshukuru Mungu kwa maisha ya JPM na yale yote mema aliyo yatenda kwa taifa hili. Mema ambayo ama kwa hakika yataendelea kuwawinda viongozi wote wa Taifa hili la Tanzania watakao mfuatia.
Kuna watu wana vichwa moto balaa achana nae huyoKwa kosa moja tena la kimatamshi na huzuni hii ushamuhukumu hawezi kuongoza nchi?
Rangi hata ukaiweke baharini miaka 10 haiwezi toka rangi ile loading...............Sasa ni wakati wa kuukabili ukweli. Kwetu sisi wengine, inapendeza kupata hewa mpya ya ukweli, kuachana na UNAFIKI, PROPAGANDA, MAPAMBIO na ujinga mwingi unaotia kichefuchefu.
Tulimkosoa sana Kikwete. Hakuwaua au kuwakamata wapinzani au wakosoaji wake. Tunamiss sana uhuru wa kusema tunayofikiri bila kuwa na wasiwasi wa kushughulikiwa
Kwanini wakati hapa kazi tuKwahiyo siku 14 hatuendi kazini?
Acha uvivu.Huyo mama kwanza anasema siku 14 wakati ni 21. Mama huyu hawezi kuongoza nchi hii tuwe wakweli.
Hata huyo Sadist alietutoka,hata Wakatoliki wenyewe mwishoni walimtema sababu lilikuwa gunia la mavi,halibebeki tena.Kwa kuwa sio mkatoliki very soon mtaanza kumpiga vita
Pole ielekeze kwa Mataga tafadhaliJamani Poleni sana Watanzania