Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Hahahhaaa sicheki mkuu sijielewi yaniiPole ielekeze kwa Mataga tafadhali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahhaaa sicheki mkuu sijielewi yaniiPole ielekeze kwa Mataga tafadhali
Wale wasiojulikana waanze kusakwa kwani bosi wao ameExpire
Hili la kuteua makamu wasindikizaji ni tatizo. I hope tutajifunza sasa. Ni vyama vyote. Unakumbuka aliyekuwa makamu wa Lissu? Balaa kama hili halikuwa limetokea watu wakachukulia simple. Ila tusihukumu mapema. Anaweza kuja kuwa rais mzuri mpaka kila mtu akashangaa. Tumpe muda. Naona Kikwete ka mbali akirudisha majeshi. Naona Membe naye akipasha misuli.The vice-president is a heartbeat away from the presidency.
How that came to pass both literally and figuratively...
[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]Tanzania yetu ipo salama kabisa. Hilo halina shaka. Ila mama Samia afumue kabisa baraza lote. Na yeye pia ajikinge maana ninamuona havai barakoa kabisa na alivyo mnene. Other wise tutapoteza marais wawili ndani ya mwaka mmoja.
Mungu ninaye mwamini mimi, BWANA YESU, amuwezeshe na kumfanya kuwa jasiri na hodari. Aepuke wakujipendekeza maana watamgharimu. Uzalendo uliojengwa na JPM muda alioitawala Tanzania nawaonea sana huruma warithi wake kama hawatafuata nyayo zake.
Uzalendo gani?Wa kuteka na kuua watu wanaomkosoa?
Bora tuanze upya!Sasa ni wakati wa kuukabili ukweli. Kwetu sisi wengine, inapendeza kupata hewa mpya ya ukweli, kuachana na UNAFIKI, PROPAGANDA, MAPAMBIO na ujinga mwingi unaotia kichefuchefu.
Tulimkosoa sana Kikwete. Hakuwaua au kuwakamata wapinzani au wakosoaji wake. Tunamiss sana uhuru wa kusema tunayofikiri bila kuwa na wasiwasi wa kushughulikiwa
Halahala usije kuta unajisakisha wewe.!
Ila amesema alianza kuumwa tarehe 14 Mach. Yawezekana hao walitoa habari hiyo kabla hajaanza kuumwaWale waliosema Rais mgonjwa wafutiwe mashtaka maana mama Samia amesema ni kweli alikuwa anaumwa.
Kubwa ni uhuru wa vyombo vya habari na kutambua Covid-19 ipo.
Waliopo gerezani pia kwa uhujumu uchumi, ni wakati sasa Kesi zao zisikilizwe.
Na afanye hivyo kupanga ni kuchagua.Mama Samia anaweza kuwa Rais bora kabisa kama atachukua the best of Kikwete (uhuru wa vyombo vya habari, demokrasia kwa ujumla) na the best Magufuli (mtu wa vitendo, ujasiri na uthubutu)
Lakini aache kabisa udhaifu wa Kikwete (rushwa, nganda n.k.). Udhaifu wa Magufuli (kuminya uhuru wa vyombo vya habari, ubabe, kutofuata katiba n k.)
Uchaguzi mi wake
Tulichelewa sana ndugu zangu au nasema uongo?Mama Samia ataapishwa lini? Na lini anatakiwa awe ameteua Makamu wa Rais?
Nakumbuka vizuri sana, ndio maana nimesema aongoze kwa haki kwani ameshapata fundisho.Huyo si ndiye alikuwa mmoja wa wenyeviti wa bunge la katiba,unakumbuka walichokifanya yeye na akina Jk?
Naomba ile crop inayonukuu siku 21, naitafuta sana.
Mama Samia anaweza kuwa Rais bora kabisa kama atachukua the best of Kikwete (uhuru wa vyombo vya habari, demokrasia kwa ujumla) na the best Magufuli (mtu wa vitendo, ujasiri na uthubutu)
Lakini aache kabisa udhaifu wa Kikwete (rushwa, nganda n.k.). Udhaifu wa Magufuli (kuminya uhuru wa vyombo vya habari, ubabe, kutofuata katiba n k.)
Uchaguzi mi wake
Wandugu huyu mtu alifariki tarehe 11 saa 11.30 jioni , wiki nzima Genge walikuwa na mwili wanajaribu kucheza sadakalawe ...na walikuwa hata hawana mpango wa kutangaza jana , sema kumekua na pressure kubwa toka kwa wazalendo ndani ya mfumo , pamoja na hofu kuwa leo wapinzani wangetangaza kifo kabla yao .....ikabidi watume helocopter zikamchukue Makamu Tanga mzobe mzobe aje atangaze usiku usiku ......unaweza kuona uso wake mama ulivyojaa simazi na mshangaoIla amesema alianza kuumwa tarehe 14 Mach. Yawezekana hao walitoa habari hiyo kabla hajaanza kuumwa
Hata wao wanajua kuna watu wa siku 21 na wengine wa siku 14... Na wewe fahamu hivyo...Huyo mama kwanza anasema siku 14 wakati ni 21. Mama huyu hawezi kuongoza nchi hii tuwe wakweli.