Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15]Pole sana mama D kwa msiba mzito ulio upata.
Mwendo upi kaumaliza mtu aliyenyima ajira wasomi na kutufukuzia kazi tunaowategemea watusomeshe. Mwenye majibu ya jeuri na kujikweza. Pia mwizi wa kura.Kama taifa tunapitia kipindi kigumu sana, kikubwa tushikamane na tusiache kumwomba Mungu na kumuombea sana mheshimiwa Samia Suluhu Hasan pamoja na wasaidizi wake...
Ameen!!tumwombee hekima, ujasiri, na kuthubutu anapoliongoza kupitia maombolezo ya kitaifa na hatimaye kushika usukani wa taifa letu.
Why kwa nini ashindwe?Acheni hizo tutavuka kwenye hili,tulishaondokewa na viongozi wakubwa huko nyuma.Huyo mama kwanza anasema siku 14 wakati ni 21. Mama huyu hawezi kuongoza nchi hii tuwe wakweli.
Rudisha nyuma siku 7 walizotumia kuhadaa watanzaniaHuyo mama kwanza anasema siku 14 wakati ni 21. Mama huyu hawezi kuongoza nchi hii tuwe wakweli.
Hawezi hawezi hawezi haweziiiiiii...haweziHuyo mama kwanza anasema siku 14 wakati ni 21. Mama huyu hawezi kuongoza nchi hii tuwe wakweli.
Sanasana Watanzania watakuwa wametoka utumwani na kupata uhuru!Lakini ni mara ya kwanza tunaondokewa na Rais aliye kazini, Active President. Nyerere na Mkapa wamefariki wakiwa wastaafu. Kwa katiba yetu, Rais yuko tofauti sana na Makamu Rais, Waziri Mkuu, na wengine, ndio maana msiba wa Magufuli ni wa pekee...
Maono gani wewe,imeisha hiyo.Kama taifa tunapitia kipindi kigumu sana, kikubwa tushikamane na tusiache kumwomba Mungu na kumuombea sana mheshimiwa Samia Suluhu Hasan pamoja na wasaidizi wake...
[emoji24]Kama taifa tunapitia kipindi kigumu sana, kikubwa tushikamane na tusiache kumwomba Mungu na kumuombea sana mheshimiwa Samia Suluhu Hasan pamoja na wasaidizi wake...
Huyu ra ni nani kaka?Msisahau el na ra nao wanapasha misuli kuweka MTU wao 2025
King makerHuyu ra ni Nani kaka