Tulizeni Mioyo Watanzania: Taifa liko Salama Mikononi mwa Mama Samia Suluhu Hassan
IMG-20210318-WA0000.jpg
 
Huyu mama kuna kila dalili za yeye kukimbia game kabla muda wake haujaisha. Ngoja tuone atafanyeje, I wish atakua mstaarabu sio ka jiwe
 
Kama taifa tunapitia kipindi kigumu sana, kikubwa tushikamane na tusiache kumwomba Mungu na kumuombea sana mheshimiwa Samia Suluhu Hasan pamoja na wasaidizi wake.

Tunamshukuru Mungu kwaajili ya uhai wa rais John Pombe Magufuli.

Tunamshukuru Mungu kwaajili ya maono yake makubwa kwa taifa letu.

Tunamshukuru kwa kutengeneza rasilimali watu makini sana wakiwa wasaidizi wako, ulijua kuwaandaa viongozi imara na umetuachia taifa imara na lenye heshma kubwa sana.



Lala salama rais wetu John Pombe Joseph Magufuli
 
Kama taifa tunapitia kipindi kigumu sana, kikubwa tushikamane na tusiache kumwomba Mungu na kumuombea sana mheshimiwa Samia Suluhu Hasan pamoja na wasaidizi wake...
Mwendo upi kaumaliza mtu aliyenyima ajira wasomi na kutufukuzia kazi tunaowategemea watusomeshe. Mwenye majibu ya jeuri na kujikweza. Pia mwizi wa kura.

Acha alale tu sisi ngoja tuendelee na kuchapa kazi zetu maana tumefiwa na wapendwa wetu wengi so na yy pia ni binadam tu hana jipya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mama kwanza anasema siku 14 wakati ni 21. Mama huyu hawezi kuongoza nchi hii tuwe wakweli.
Why kwa nini ashindwe?Acheni hizo tutavuka kwenye hili,tulishaondokewa na viongozi wakubwa huko nyuma.
 
Lakini ni mara ya kwanza tunaondokewa na Rais aliye kazini, Active President. Nyerere na Mkapa wamefariki wakiwa wastaafu. Kwa katiba yetu, Rais yuko tofauti sana na Makamu Rais, Waziri Mkuu, na wengine, ndio maana msiba wa Magufuli ni wa pekee...
Sanasana Watanzania watakuwa wametoka utumwani na kupata uhuru!
 
Kama taifa tunapitia kipindi kigumu sana, kikubwa tushikamane na tusiache kumwomba Mungu na kumuombea sana mheshimiwa Samia Suluhu Hasan pamoja na wasaidizi wake...
[emoji24]
 
Back
Top Bottom