Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Mara ya mwisho namuona Magu ni pale St Peters, alisali pale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Team JK wanarudi kundini, lazima watamshepu Mama akomae vinginevyo na yeye atatengenezwaHuyo mama kwanza anasema siku 14 wakati ni 21. Mama huyu hawezi kuongoza nchi hii tuwe wakweli.
Asipolinda maslahi yao na yeye Covid itamtoa, hapo aombe msaada kwa Team JKTanzania yetu ipo salama kabisa. Hilo halina shaka. Ila mama Samia afumue kabisa baraza lote. Na yeye pia ajikinge maana ninamuona havai barakoa kabisa na alivyo mnene. Other wise tutapoteza marais wawili ndani ya mwaka mmoja.
Aombe Team JK wamsapoti vinginevyo hatoboiAtaanza kuongoza taifa lilogawanyika na ambalo liko njia panda. Hii siyo kitu rahisi. Nchi hii ina stakeholders wengi, nje na ndani ya nchi. Wote wana maslahi yao.
Mama yuko sawa jmn jiwe alifariki siku kumi zilizopitaHuyo mama kwanza anasema siku 14 wakati ni 21. Mama huyu hawezi kuongoza nchi hii tuwe wakweli.
YametimiaaMama yuko vizuri, pengine hatujamjua vizuri.
Tumpe muda na kumuunga mkono.
Jiwe msalimie Ben Saananne na Mawazo...
Mungu ninaye mwamini mimi, BWANA YESU, amuwezeshe na kumfanya kuwa jasiri na hodari. Aepuke wakujipendekeza maana watamgharimu. Uzalendo uliojengwa na JPM muda alioitawala Tanzania nawaonea sana huruma warithi wake kama hawatafuata nyayo zake.
Mikononi mwa Mungu, hivi si tuombolezee nyumbani twende Jumatatu kazini kwa uchungu tulionao tutaweza kugombea mabasi kweli asubuhi?
Tumhanasishe na mama yetu avae barakoa. ...Mzee tulia na uvae barakoa kwenye mikusanyiko.
Kwahiyo siku 14 hatuendi kazini?
Kati ya risasi na koona, bora nini?Mama yuko vizuri, pengine hatujamjua vizuri.
Tumpe muda na kumuunga mkono.
Jiwe msalimie Ben Saananne na Mawazo...