Yeye ameandikiwa tu.
Kwahiyo ukiandikiwa ndiyo na Wewe tena Msomi wa Sheria wa aina yake ndiyo asijiridhishe kwa Kuipitia Katiba ya nchi?

Yaani hata Mimi tu Layman nimeweza Kuipitia hiyo Katiba na Kuielewa iweje Yeye tena a high Profile Public Figure wa aina yake asilijue hili au kuwa na uhakika nalo kabla hajatangaza?

Namkubali mno Mama Samia Suluhu Hassan ( Makamu wa Rais ) ila kwa Kukosea tu Jambo Muhimu na la Kikatiba kama hili naanza Kuingiwa na Mashaka kuwa labda Msiba umemchanganya au yupo katika Kipindi cha Vitisho kutoka kwa Watu wenye Maslahi yao yaliyoratibiwa vyema na tunayemuomboleza hivi sasa.
 
CCM ni ile ile...oh ni ile ile[emoji445][emoji444][emoji443]
 
Gwajima yupo akafufue mtu. Mzee mnafiki sana wewe.

Mimi niseme tu Mungu analipenda sana hili.

Licha ya Ninyi wanafiki kupambana kuumiza wasio na hatia.
 
Pole Mm ulikengeuka kisa tu mahaba kea JPM na hukuwahi kukubali kuwa jamaa alikuwa wnakosea ,heshima yako ilishuka Sana JF kwa U turn hiyio
 
Tanzania yetu ipo salama kabisa. Hilo halina shaka. Ila mama Samia afumue kabisa baraza lote. Na yeye pia ajikinge maana ninamuona havai barakoa kabisa na alivyo mnene. Other wise tutapoteza marais wawili ndani ya mwaka mmoja.
 
Ataanza kuongoza taifa lilogawanyika na ambalo liko njia panda. Hii siyo kitu rahisi. Nchi hii ina stakeholders wengi, nje na ndani ya nchi. Wote wana maslahi yao.
 
Mikononi mwa Mungu, hivi si tuombolezee nyumbani twende jumatatu kazini kwa uchungu tulionao tutaweza kugombea mabasi kweli asubuhi?
😂😂😂Mwenzio kesho Nina harusi Sasa nawaza hata picha sipati kwenda nataka na kuacha nataka
 
Mama Samia aifuate katiba, pia haki za watu ni muhimu kuzingatia...
 
Kikatiba anashika usukani baada ya mombolezo au baada ya maombolezo?
 
Msiba mzito sana huu, kwa kweli nimeguswa kupita maelezo
 
Kama alikuwa aukijifunza kutoka kwa dikteta Magufuli hapo hamna kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…