Nani amekuambia hatujatulia ?, mbona huku watu tunaendelea na hamsini zetu ?, huyu si wa kwanza kufa, wewe vaa barakao usijitoe akili ccm haiwezi kukulinda na kifo
 
Mungu ninaye mwamini mimi, BWANA YESU, amuwezeshe na kumfanya kuwa jasiri na hodari. Aepuke wakujipendekeza maana watamgharimu. Uzalendo uliojengwa na JPM muda alioitawala Tanzania nawaonea sana huruma warithi wake kama hawatafuata nyayo zake.
Uzalendo gani huo?
 
Aliyesema sasa ni wakati Wa kumjua first gentleman ameona mbali.

Mama huwaga simuelewagi yuko shallow sana,weupe wake ndo ulimpatia hiyo Nafasi..
 
Tuwe wakweli wafanyakazi sekta za serikali wamepumua ila lile suala la kuongezewa mishahara ndiyo basi tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…