Uhakiki
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 7,288
- 7,704
Aisee... DaaahKing maker
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee... DaaahKing maker
Mzee tulia na uvae barakoa kwenye mikusanyiko.
Kuanza sasa chungulia Ccm kuelekea 2022 Uchaguzi wao, kimtindo utaona kwa mbali hiki kitu, then utaniambia ,Aisee... Daaah
Si huwa mnasema Pigeni Kazi, kazi kama kawaida... Tuchape Kazi tupate maendereo.Kwahiyo siku 14 hatuendi kazini?
Nakuheshimu sana!Kuanza sasa chungulia Ccm kuelekea 2022 Uchaguzi wao, kimtindo utaona kwa mbali hiki kitu, then utaniambia ,
Hapo ndiyo patamuAongoze vizuri na yeye mambo ya kuumiza wananchi watakuwa wanaomba mabaya tu...UBAYA UBAYA TU.
Naomba ile crop inayonukuu siku 21, naitafuta sana.
Nisamehe mkuu, sina maana mbayaNakuheshimu sana!
Uzalendo gani huo?Mungu ninaye mwamini mimi, BWANA YESU, amuwezeshe na kumfanya kuwa jasiri na hodari. Aepuke wakujipendekeza maana watamgharimu. Uzalendo uliojengwa na JPM muda alioitawala Tanzania nawaonea sana huruma warithi wake kama hawatafuata nyayo zake.
Namaanisha, huwa huna tabia ya uongo. UnaaminikaNisamehe mkuu, sina maana mbaya
Ahsante,tuko pamojaNamaanisha, huwa huna tabia ya uongo. Unaaminika
mama ataongozwa na lile genge la lakezone,awe stableHuyo mama kwanza anasema siku 14 wakati ni 21. Mama huyu hawezi kuongoza nchi hii tuwe wakweli.
Hujawahi kumfahamu Samia Suluhu aiseehAliyesema sasa ni wakati Wa kumjua first gentleman ameona mbali.
Mama huwaga simuelewagi yuko shallow sana,weupe wake ndo ulimpatia hiyo Nafasi..