Naunga mkono 100%Mama Samia anaweza kuwa Rais bora kabisa kama atachukua the best of Kikwete (uhuru wa vyombo vya habari, demokrasia kwa ujumla) na the best Magufuli (mtu wa vitendo, ujasiri na uthubutu)
Lakini aache kabisa udhaifu wa Kikwete (rushwa, nganda n.k.). Udhaifu wa Magufuli (kuminya uhuru wa vyombo vya habari, ubabe, kutofuata katiba n k.)
Uchaguzi mi wake
Tanzania yetu ipo salama kabisa. Hilo halina shaka. Ila mama Samia afumue kabisa baraza lote. Na yeye pia ajikinge maana ninamuona havai barakoa kabisa na alivyo mnene. Other wise tutapoteza marais wawili ndani ya mwaka mmoja.
Kwa kuwa Magufuli alikuwa mvunja Katiba nasi tunavunja Katiba kwa kupunguza siku 7. Hatuwezi kumpa heshima as if he was a good leaderHuyo mama kwanza anasema siku 14 wakati ni 21. Mama huyu hawezi kuongoza nchi hii tuwe wakweli.
ahahaaaaaMzee hebu tulia na uvae barakoa kwenye mikusanyiko.
Yeye sio mpumbavu kusema 14 kama ndio mjue kuwa alikufa kitambo siku 7 nyuma nikujiongeza tu mtu mzima hawezi kukuumbua mbele ya hadhara lazima akupe nahau methali au msemo ambao utaupambanua mwenyeweHuyo mama kwanza anasema siku 14 wakati ni 21. Mama huyu hawezi kuongoza nchi hii tuwe wakweli.
Inawezekana,wazanzibar huwa ni viongozi makini sana,kama aliaminiwa kwenye bunge LA mabadiliko ya katiba basi sawa.Hujawahi kumfahamu Samia Suluhu aiseeh
Yuko tough hasa.
Muulize Salmin Amour na hata huyo Magu mwenyewe...
Shida ya wabongo ukiwapa uhuru sana wanaweza kukutia kidole cha macho ama cha back sideSasa ni wakati wa kuukabili ukweli. Kwetu sisi wengine, inapendeza kupata hewa mpya ya ukweli, kuachana na UNAFIKI, PROPAGANDA, MAPAMBIO na ujinga mwingi unaotia kichefuchefu.
Tulimkosoa sana Kikwete. Hakuwaua au kuwakamata wapinzani au wakosoaji wake. Tunamiss sana uhuru wa kusema tunayofikiri bila kuwa na wasiwasi wa kushughulikiwa
Naona wameshauriana tuHuyo mama kwanza anasema siku 14 wakati ni 21. Mama huyu hawezi kuongoza nchi hii tuwe wakweli.
Umeandika nini hapa mkuu?Kikatiba anashika usukani baada ya mombolezo au baada ya maombolezo?
Hakuna tabu,ataongoza vizuri,,pia kwa uoande wangu naomba viongozi wachapa kazi hasa wakuu wa vyombo dola kama mambosasa wachape kaziAongoze vizuri na yeye mambo ya kuumiza wananchi watakuwa wanaomba mabaya tu...UBAYA UBAYA TU.
Wanawake wa Kizanzibari, waliofanikiwa kufika level za Samia.Inawezekana,wazanzibar huwa ni viongozi makini sana,kama aliaminiwa kwenye bunge LA mabadiliko ya katiba basi sawa.
Acha muda utasema.
Tuondoe utata wowote ule ?Taifa litaendelea kuwa salama na kwa pamoja katika maombolezo yetu tuondoe utata wowote ule; mama Samia Su...
Magu tena jamani?Hujawahi kumfahamu Samia Suluhu aiseeh
Yuko tough hasa.
Muulize Salmin Amour na hata huyo Magu mwenyewe...
Sio kirahisi namna iyo mzeeWatanzania mlioko ukimbizini sasa mrudi tuendelee kujenga nchi.
Funzo tuache kiburi hii ardhi ya mwenyezi Mungu kila mtu muda ukifika ataondoka.
Sio rahisi kuhusu nini?Sio kirahisi namna iyo mzee
Barakoa ni confirmation kwamba wewe ni mtumwa,na anayevaa barakoa ni mtumwa.Mzee hebu tulia na uvae barakoa kwenye mikusanyiko.
Hahahaha mzee wa "noma sana"Noma sana!
Mkuu hii ishu ina mkanganyiko sana, mama hakwenda kuchukuliwa Tanga, alitangaza akiwa Tanga na inaonyesha mama aliamua kutangaza kwa kulazimisha maana aliona hali inaenda ndivyo sivyo ni either kuna ugomvi ndani.Wandugu huyu mtu alifariki tarehe 11 saa 11.30 jioni , wiki nzima Genge walikuwa na mwili wanajaribu kucheza sadakalawe ...na walikuwa hata hawana mpango wa kutangaza jana ...