Tulizeni Mioyo Watanzania: Taifa liko Salama Mikononi mwa Mama Samia Suluhu Hassan
Mama Samia anaweza kuwa Rais bora kabisa kama atachukua the best of Kikwete (uhuru wa vyombo vya habari, demokrasia kwa ujumla) na the best Magufuli (mtu wa vitendo, ujasiri na uthubutu)

Lakini aache kabisa udhaifu wa Kikwete (rushwa, nganda n.k.). Udhaifu wa Magufuli (kuminya uhuru wa vyombo vya habari, ubabe, kutofuata katiba n k.)
Uchaguzi mi wake
Naunga mkono 100%
 
Tanzania yetu ipo salama kabisa. Hilo halina shaka. Ila mama Samia afumue kabisa baraza lote. Na yeye pia ajikinge maana ninamuona havai barakoa kabisa na alivyo mnene. Other wise tutapoteza marais wawili ndani ya mwaka mmoja.

We Vick noma sana..

Yaani kwa kijineno hiki tu, "....na alivyo mnene...", nimecheka sana...

All in all, tumwombee HEKIMA na BUSARA..

Kamwe asirithi tabia ya kujiinua, kujikweza, dharau, ubabe usio na maana, kujipenda mwenyewe kuliko kupenda wengine nk nk za aliyekuwa boss wake Hayati Pombe...

Akitenda mema na kuheshimu kila mtu na kufuata taratibu, sheria na katiba ktk uongozi wake, atamaliza salama bila kujali uwepo wa wa CIVID 19...

Hayati John Pombe Magufuli hajafa kwa CORONA. Kafa kwa tabia yake mbaya. Corona ni fimbo tu ya kuchapia wenye tabia mbaya. Tabia njema ni kinga dhidi ya adui yeyote akiwemo Corona Virus...!
 
Huyo mama kwanza anasema siku 14 wakati ni 21. Mama huyu hawezi kuongoza nchi hii tuwe wakweli.
Kwa kuwa Magufuli alikuwa mvunja Katiba nasi tunavunja Katiba kwa kupunguza siku 7. Hatuwezi kumpa heshima as if he was a good leader
 
Huyo mama kwanza anasema siku 14 wakati ni 21. Mama huyu hawezi kuongoza nchi hii tuwe wakweli.
Yeye sio mpumbavu kusema 14 kama ndio mjue kuwa alikufa kitambo siku 7 nyuma nikujiongeza tu mtu mzima hawezi kukuumbua mbele ya hadhara lazima akupe nahau methali au msemo ambao utaupambanua mwenyewe
 
Sasa ni wakati wa kuukabili ukweli. Kwetu sisi wengine, inapendeza kupata hewa mpya ya ukweli, kuachana na UNAFIKI, PROPAGANDA, MAPAMBIO na ujinga mwingi unaotia kichefuchefu.
Tulimkosoa sana Kikwete. Hakuwaua au kuwakamata wapinzani au wakosoaji wake. Tunamiss sana uhuru wa kusema tunayofikiri bila kuwa na wasiwasi wa kushughulikiwa
Shida ya wabongo ukiwapa uhuru sana wanaweza kukutia kidole cha macho ama cha back side
 
Nafikiri yeye anapaswa aitulize mioyo yenu iliyosambaratika kutokana mambo ya yule "mtu"

Ajue kabisa tulipoteza Imani na nchii aturidishie hio Imani

Kuna watu waliumia Sana,wengine walikufa wengine wamekuwa vichaa kwa yaliyowasibu

Amtangulize MUNGU aitulize mioyo ya watanzania iliyoghafirika .

Akiendelea ma Yale Yale aliyoyafanya mtangulizi wake kutusambaratisha atakuwa anakosea Sana

Tujifunze kutokana historia
 
Inawezekana,wazanzibar huwa ni viongozi makini sana,kama aliaminiwa kwenye bunge LA mabadiliko ya katiba basi sawa.

Acha muda utasema.
Wanawake wa Kizanzibari, waliofanikiwa kufika level za Samia.

Ni watataaaaaa!
Kupenya ile jamii kufikia hapo ni zaidi ya kuwa mwanamke.
 
Watanzania mlioko ukimbizini sasa mrudi tuendelee kujenga nchi.

Funzo tuache kiburi hii ardhi ya mwenyezi Mungu kila mtu muda ukifika ataondoka.
Sio kirahisi namna iyo mzee
 
Nawajua watanzania, hata bila Rais tunaweza kujiongoza wenyewe!! As of now hakuna panic yoyote kila mtu anafanya jambo lake as if nothing big had happened.

Nafikiri ule msiba wa Baba wa Taifa ndiyo uliwakomaza wengi!!
 
Wandugu huyu mtu alifariki tarehe 11 saa 11.30 jioni , wiki nzima Genge walikuwa na mwili wanajaribu kucheza sadakalawe ...na walikuwa hata hawana mpango wa kutangaza jana ...
Mkuu hii ishu ina mkanganyiko sana, mama hakwenda kuchukuliwa Tanga, alitangaza akiwa Tanga na inaonyesha mama aliamua kutangaza kwa kulazimisha maana aliona hali inaenda ndivyo sivyo ni either kuna ugomvi ndani.

Mama akaamua kujichukulia maamuzi kama makamu wa Rais hata anavyoongea inaonyesha kabisa haikuandaliwa maana hata mic ilikuwa ni moja tu hakuna chombo cha habari kilikuwepo ni alirekodiwa then clip ikatumwa TBC wakafanya kama ni mubashara kwahiyo mama alichukua maamuzi magumu kuna haja kubwa sana kumuombea yuko kwenye wakati mgumu sana.
 
Back
Top Bottom