moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 142,674
- 743,909
Naunga mkono 100%Mama Samia anaweza kuwa Rais bora kabisa kama atachukua the best of Kikwete (uhuru wa vyombo vya habari, demokrasia kwa ujumla) na the best Magufuli (mtu wa vitendo, ujasiri na uthubutu)
Lakini aache kabisa udhaifu wa Kikwete (rushwa, nganda n.k.). Udhaifu wa Magufuli (kuminya uhuru wa vyombo vya habari, ubabe, kutofuata katiba n k.)
Uchaguzi mi wake