Tulizeni Mioyo Watanzania: Taifa liko Salama Mikononi mwa Mama Samia Suluhu Hassan
Hivi wewe magu angekaa maisha yake yote kwamba asinge kufa na kusingekua na mtu mwingine....??

Ishu sio magufuli au mjomba ake magufuli ...

Utawala sio jeshi la mtu mmoja..

Huo utawala unaousema wewe... utawala wakutokuwa na upigaji... unhekua kwenye system kwamba kila anaeingia anaongozwa na system...


Sijaona juhudi yoyote ya mwanakwenda katika kuhakikisha anatengeneza system zaidi ya kuweka formation na ndugu zake ngazi za juu na kuwabana wasio timu yao..

Hata upigaji na yeye kapiga sana tu kwenye hayo hayo mamiradi ya ujenzi..

Aliekufa na lake halipo tena sasa ni kuangalia mbele system iwepo ya kuguide kila atakaye kuja .... praising mapambio hazisaidii...na nafurahi hayatakuwepo tena.
 
Jpm alicho badili ni mfumo wa upigaji tu, na style ya wizi ila kila kitu ni vile vile CCM ni ile ile siku zote
 
Hivi wewe magu angekaa maisha yake yote kwamba hasinge kufa na kusingekua na mtu mwingine.... Ishu sio magufuli au mjomba ake magufuli ...

Utawala sio jeshi la mtu mmoja..

Huo utawala unaousema wewe unekua kwenye system kwamba kila anaeingia anaongozwa na system...

Hata upigaji na yeye kapiga sana tu kwenye hayo hayo mamiradi ya ujenzi..

Aliekufa na lake halipo tena sasa ni kuangalia mbele system iwepo ya kuguide kila atakaye kuja .... praising mapambio hazisaidii...na nafurahi hayatakuwepo tena.
Poor understanding capacity.
 
Hata upigaji na yeye kapiga sana tu kwenye hayo hayo mamiradi ya ujenzi..
Tena upigaji wa huyu jamaa ni hatari.Zile 1.5T zilizoibuliwa na profesa Assad,mpaka anaenda Jongomeo hazijawahi tolewa maelezo.Ufisadi wa JK na Mkapa kwa ujumla wake ,miaka 20 haikuzidi 700B .Sasa huyu Mwamba miaka 2 ya mwanzo, yeye kapiga 1500B .Yaani mara mbili na ushee ya ufisadi wa miaka 20!!
 
Tena upigaji wa huyu jamaa ni hatari.Zile 1.5T zilizoibuliwa na profesa Assad,mpaka anaenda Jongomeo hazijawahi tolewa maelezo.Ufisadi wa JK na Mkapa kwa ujumla wake ,miaka 20 haikuzidi 700B .Sasa huyu Mwamba miaka 2 ya mwanzo, yeye kapiga 1500B .Yaani mara mbili na ushee ya ufisadi wa miaka 20!!
Nashangaa wanalazimisha sana kila mtu akubali watakayo
 
Kuna kiongozi bora na bora kiongozi.
Average mind..... Hakuna hadhi ya "bora" kwenye kiongozi. Iwe inaanza au iko mwisho ila tuna kiongozi pekee, na ndo tunaye mtaka sisi. Kwa taarifa yako huyo unayemwita bora hakuwa na ubora huo kuliko watu wote.

Amefanya kazi yake kaondoka, aliyewekwa naye atafanya kazi yake ataondoka na wengine watakaokuja. Tanzania ipo
 
Naomba kuwapa pole Watanzania wenzangu kufuatia msiba huu mkubwa wa Taifa letu. Kifo cha Rais John J. P. Magufuli kumeacha ombwe na pia mafunzo kwa maisha yetu sote. Nimepokea kwa masikitiko makubwa msiba huu. Vyovyote vile ilivyo, kama nilivyowahi kusema huko nyuma hakuna ombwe la uongozi Tanzania.

Tumewahi kuondokewa na Waziri Mkuu akiwa madarakani, Makamu wa Rais, mawaziri n.k Huu ni wakati wa mapitio yetu. Taifa litaendelea kuwa salama na kwa pamoja katika maombolezo yetu tuondoe utata wowote ule; mama Samia Suluhu Hassan ameandaliwa na ndio sababu amekuwa makamu wa Rais mara hizi mbili chini ya Magufuli.

Taifa liko salama mikononi mwake na tumwombee hekima, ujasiri, na kuthubutu anapoliongoza kupitia maombolezo ya kitaifa na hatimaye kushika usukani wa taifa letu.

Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu Mbariki mama Samia Suluhu Hassan

Amina.

WatanzaniaTukoPamoja.

Wewe kama nani?
 
Yawezekana yupo anayeharibu kututisha na kutaka kutuondoa kwenye mpango kazi muhimu wa kuhakikisha tunakuwa huru kikwelikweli.

Ujumbe uwaendee wazalendo na mabeberu pia kuwa Tanzania haiwezi kuogopa kamwe. Matukio makubwa yanaijenga Tanzania ya Wazalendo.

Ipo orodha ya mamilioni ya watanzania ambao wapo tayari kusucrifice maisha yao ili tu Tanzania ibaki kuwa Tanzania.

Kwa hisani ya Tanzania.
 
Kuna puppets wanadhani sasa nchi itasambaratika, wasahau. Uzuri ni kuwa nchi yetu iko imara chini ya Samia. Watanzania wengi sana tupo nyuma yake mh. Rais, kwa maombi na ulinzi. RIP MAGUFULI
 
Watu wame jisahau kabsa kana kwamba asie julikana ndo ame dead

SUBIRI KIDOGO
 
Back
Top Bottom