Kwa hiyo tume wamekubali kuwa vifo vilisababishwa na polisi?Sheria ya jeshi la polisi inaruhusu askari kubeba silaha lakini kutumia hiyo silaha kuna mwongozo wake sio kila tukio lazima silaha itumike.
Damu hizi za raia wasiokuwa na hatia ipo siku zitakuja kumuokotesha makopo Samuya.Wanaume: 490
Wanawake: 28
Askari: 16
Watoto: 21 Kati yao,
Miaka 15-17 walikuwa 15.
Miaka 7-10 walikuwa 4.
Chini ya miaka 5 walikuwa 2.
Vifo vingi vikiwa vimetobolewa na kitu chenye ncha kali yaani walipigwa risasi. Zaidi ya watu 700 walitekwa na kupotea wengine hadi leo hawajulikani.
Wengi walipigwa risasi wakiwa majumbani, madukani, sebuleni nk, hii inaonyesha ni matumizi mabaya ya vyombo vya usalama kinyume na sheria za kimataifa.
Sheria ya jeshi la polisi inaruhusu askari kubeba silaha lakini kutumia hiyo silaha kuna mwongozo wake sio kila tukio lazima silaha itumike.
Kwa mujibu wa shahidi kutoka Mwanza tume iliambiwa askari polisi waliwapiga risasi vijana 13 waliokuwa kwenye kibanda cha kuonyesha mpira.
Askari 16 waliuwawa, jiulize nani aliyewauwa.Kwan hujasikia wamesema kuna baadhi waandamanaji walikuwa na silaha za moto.
Kuna ugumu gani kusema hivyo bila ya uthibitisho wowote?Kwan hujasikia wamesema kuna baadhi waandamanaji walikuwa na silaha za moto.
Askari 16 waliuliwa siku zile za vurugu, jiulize waliuliwa na nani.Kuna ugumu gani kusema hivyo bila ya uthibitisho wowote?
Hiyo tume wamepewa uthibitisho unaoonyesha hao waandamanaji wakiwa na silaha za moto?
Nguruwe kuwa na akili za kujuwa wapuuzi, hilo haiwezekani.Askari 16 waliuwawa, jiulize nani aliyewauwa.
Halafu kuna wapuuzi walitegemea Samia apelekwa ICC wakati zilikuwa vurugu zenye nia ya kuipindua serikali.
Na amesema waliouwa walichomwa na visu na mikuki na mishale maana hivyo ndivyo vitu vyenye ncha kali maarufu hapa tanzania kwa kuulia watu. Risasi sio kitu chenye ncha kali hicho ni kitu chenye baruti. Kwa hiyo chande ameona watu hawakupigwa risasi. Sasa hao walio uliwa na vitu vyenye ncha kali sijui waliwafukua wapi kuwafanyia post-mortem.Labda kama nimesikia vibaya.
Ila sina shaka na masikio yangu.
Wakati anaorodhesha silaha walizokuwa nazo "wafanya ghasia"
Silaha za moto pia ilikuwemo.
Unarukia hili unadhani ndilo litakalomwokoa mhalifu Samia kuwajibishwa kwa uhalifu wake.Askari 16 waliuliwa siku zile za vurugu, jiulize waliuliwa na nani.
Unajiumiza bure bila maana yoyoteHili hawa maaskari kwa unyama waliofanya nitawachukia hadi naingia kaburini!
ZilizikwaMaiti ziko wapi?
Uchunguzi huo wa kitaalam ulifanyika wapi na lini?Na amesema waliouwa walichomwa na visu na mikuki na mishale maana hivyo ndivyo vitu vyenye ncha kali maarufu hapa tanzania kwa kuulia watu. Risasi sio kitu chenye ncha kali hicho ni kitu chenye baruti. Kwa hiyo chande ameona watu hawakupigwa risasi. Sasa hao walio uliwa na vitu vyenye ncha kali sijui waliwafukua wapi kuwafanyia post-mortem.
Hao walioua askari 16 sio wahalifu?. Unapokuwepo ushahidi wa aina hiyo hao ICC wanakuwa hawana sababu ya kuingilia kesi isiyowahusu.Unarukia hili unadhani ndilo litakalomwokoa mhalifu Samia kuwajibishwa kwa uhalifu wake.
Nanyi nyote mtakuwemo humo kwa kadri ya ushiriki wenu.
Huu ni Upuuzi tuEwaaaaaa! Baaaamh!
Ukombozi umekaribia. No reverse imeenda hiyo.
Hii ndio habari ICC walikuwa wanasubiri.
Wamejitia kitanzi
Yajayo yanafurahisha…
Subiri majibu ya BBC CNN watakavyojibu
Hii Wanasema nzi kafia kwenye kidonda.
Wamejifunga wenyewe.
Mapinduzi yenu yalidhibitiwa vizuri sana, mnapokuja kujiliza kwamba raia wengi waliuliwa mnakumbushwa kwamba hata askari waliuliwa na waliowaua wakavaa nguo za kiaskari wakaingia mitaani.Nguruwe kuwa na akili za kujuwa wapuuzi, hilo haiwezekani.
Wauaji wengi kama siyo wote walivaa kiraia. Nguruwe kama wewe huwezi kujuwa kuwa hao hao ndio waliosababisha vifo vya wenzao; hasa ukijuwa KMKM nao walikuwa miongoni mwao?
Huyo mfugaji wako haepuki