Mkuu Quinine, umefanya makosa kunakili, au tarakimu zenyewe ndizo hizo zilizotolewa na hiyo tume FEKI?.Wanaume: 490
Wanawake: 28
Askari: 16
Watoto: 21 Kati yao,
Waandike wapi.Kama kuna watu wanasema kuna zaidi ya hao, hasa wanaharakati uchwara, ambao walikuwa na miezi zaidi ya 6 kuweka hata mtandao ambao watu wanakuja kuandika majina ya ndugu na jamaa waliopotea kipindi cha tarehe 29 mpaka 31, kwanini wameshindwa kufanya hivyo?
Badala ya kulalamika hio idadi ni ya uwongo?
Mapinduzi halisi ndiyo kwanza yanaanza. Hakikisha masalia unayopata toka mezani kwa Samia umeyaandaa vizuri kuhudumia wanao; maanake hayatakuwepo tena.Mapinduzi yenu yalidhibitiwa vizuri sana, mnapokuja kujiliza kwamba raia wengi waliuliwa mnakumbushwa kwamba hata askari waliuliwa na waliowaua wakavaa nguo za kiaskari wakaingia mitaani.
Vijana wa kitanzania pekee hawawezi kuwa na ujasiri mkubwa kiasi hicho, uzuri ni kwamba mfumo haufanyi kazi kwa presha za nguruwe wenye donge na nongwa vichwani kama Kalamu.
Raia yupi alivaa nguo za askari.Mapinduzi yenu yalidhibitiwa vizuri sana, mnapokuja kujiliza kwamba raia wengi waliuliwa mnakumbushwa kwamba hata askari waliuliwa na waliowaua wakavaa nguo za kiaskari wakaingia mitaani.
Vijana wa kitanzania pekee hawawezi kuwa na ujasiri mkubwa kiasi hicho, uzuri ni kwamba mfumo haufanyi kazi kwa presha za nguruwe wenye donge na nongwa vichwani kama Kalamu.
Itakuwa wamewachanganya humo humo kwenye wanawake na wanaumeMkuu Quinine, umefanya makosa kunakili, au tarakimu zenyewe ndizo hizo zilizotolewa na hiyo tume FEKI?.
JUMLA ya hesabu hii ni 555, na siyo hiyo 518 kama ilivyokaa kwenye kichwa cha mada yako.
Labda kama uchambuzi wa wanawake na wanaume na watoto vimechanganywa kiholela!
Wanaume 490Mkuu Quinine, umefanya makosa kunakili, au tarakimu zenyewe ndizo hizo zilizotolewa na hiyo tume FEKI?.
JUMLA ya hesabu hii ni 555, na siyo hiyo 518 kama ilivyokaa kwenye kichwa cha mada yako.
Labda kama uchambuzi wa wanawake na wanaume na watoto vimechanganywa kiholela!
Tume FEKI imelizungumzia hili pia?Vijana wa kitanzania pekee hawawezi kuwa na ujasiri mkubwa kiasi hicho
Nimekuuliza nani kamshitaki Lissu ICC unasema ataletewa samasi, au hujui basic procedures za kufungua kesi.Kushitakiwa
Hata wakifanya hivyo, jumla haiwi 518.Itakuwa wamewachanganya humo humo kwenye wanawake na wanaume
Kwani ICC imemshitaki nani hapa Tanzania?Nimekuuliza nani kamshitaki Lissu ICC unasema ataletewa samasi, au hujui basic procedures za kufungua kesi.
Mbona hesabu ya kawaida sana mkuu au mwalim wa hesabu mlikuwa mnapishana naye mlangoni.Hata wakifanya hivyo, jumla haiwi 518.
InafikaHata wakifanya hivyo, jumla haiwi 518.
Nani kasema ICC imemshitaki mtu, wao wanapokea mashtaka kama wewe unamshtaki Lissu peleka mashtaka yako na ushahidi yatapokelewa. .Kwani ICC imemshitaki nani hapa Tanzania?
Mafwere. Aliwaua walipokataa kutii amri ya kuua.Askari 16 waliuliwa siku zile za vurugu, jiulize waliuliwa na nani.
Kama watu wanaweza kufungua mitandao ya kutukana serikali wanashindwa vipi kufungua mitandao ya kukusanya rekodi ya watu wote waliouwa au kupotea wakati wa fujo.Waandike wapi.
Ipo itawekwa wazi mda mwafaka au nenda ICC itaikuta.Kama watu wanaweza kufungua mitandao ya kutukana serikali wanashindwa vipi kufungua mitandao ya kukusanya rekodi ya watu wote waliouwa au kupotea wakati wa fujo.
Ataenda kujitetea hivyo kuwa aliua 500 tu ili abaki madarakani au jiandae uwe shahidi wake.Halafu kuna wapuuzi walitegemea Samia apelekwa ICC wakati zilikuwa vurugu zenye nia ya kuipindua serikali.
So mpaka sasa ICC imepokea mashtaka gani kutoka tz na nani anashitakiwa?Nani kasema ICC imemshitaki mtu, wao wanapokea mashtaka kama wewe unamshtaki Lissu peleka mashtaka yako na ushahidi yatapokelewa. .