Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si bora anaewatisha wachezaji kuliko anaemtisha refa??John yeye anawatisha wapiga kura.
Ndiyo maana,siku alikuwa na kikao cha kutumbua,akisema, naona mahakama Kuna watuhumiwa wa ufisadi wapo magerezani kwa muda mlefu,hivyo kama kuna namna ya kufanya,ingefaa mahakama ikae na watuhumiwa,kama itafaa waone Hindi watuhumiwa wenye uwezo wakulipa waelewane ili waachiwe.CCM na vyombo vyote vya dola na maamuzi.
VS
UPINZANI
Amani yetu ipo mikononi mwetu wenyewe. Sie ndo tunaamua kuliamsha au la. Tutakao umia au kutokuumia na maamuzi yetu pia ni sisi wenyewe. Tusitake kukwepa majukumu kwa kubebesha mzigo NEC.Amani ya Tanzania ipo mikononi mwa NEC....
Tumesema Hatutakubali tunasema kweli na msema kweli ni mpenzi wa Mungu
Anapumzika bila shakaTwambieni leo mgombea wenu yupo.wapi mbona kimya?
Nguvu ya umma mitandaoni?Tutashinda kwa nguvu ya umma sio ya tume. Hiyo ndio sababu tunasema tumeshashinda. Vipi sauti inatosha au niongeze?
😂😂😂Kwa nini mnapenda ushindi wa mezani nyie wapumbavu??
Hapana mkuu hata watu kufanya maandamano ya amani wanajinyea woga uliopitiliza.Subiri mtu akipata teuzi kama Polepole na wengine anakula matapishi yake kwa mwendo wa 5G.Tume inatest amani ya Tanzania
Mbona Lisu alishakipuliza pale mbagala siku anazindua kampeni na mmeishia kuandamania jf?Niko tayari nasubiri kipenga kipulizwe. Nimechoka kuonewa.
Hizo rufani zilizokubaliwa zina toa ujumbe mkubwa sana juu ya ukosefu wa weledi wa watendaji wa ngazi ya wilaya. Kama vigezo vipo wazi kwa nini hadi Tume ije ione kuwa walionewa na hawa wakurugenzi wa Halmashauri wasione huo ukweli? Ndio maana tunasema wakurugenzi hawafai kusimamia uchaguzi. Tume iwe na watendaji waje kila wilaya kama ilivyo kwa TAKUKURU Na TISSTume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeanza kutoa matokeo ya rufaa za udiwani na ubunge zilizokatwa na wagombea katika Uchaguzi mkuu wa 28 Oktoba 2020.
Leo tume imetoa matokeo ya rufaa 55 kama ifuatavyo:
1. Imekubali rufaa 15 na kuwarejesha wagombea katika kinyang'anyiro cha uchaguzi.
2. Imekataa rufaa 15 za wagombea ambao hawakuteuliwa.
3. Imekataa rufaa 25 za kupinga walioteuliwa.
Napendekeza hao watendaji wa majimboni waliofanya hayo makosa ya kuwaengua wapinzani kinyume na sheria wawajibishwe. Waondolewe kuwa wasimamizi wa uchaguzi maana inaonekana hawajui chochote zaidi ya ukada wao wa CCM.Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeanza kutoa matokeo ya rufaa za udiwani na ubunge zilizokatwa na wagombea katika Uchaguzi mkuu wa 28 Oktoba 2020.
Leo tume imetoa matokeo ya rufaa 55 kama ifuatavyo:
1. Imekubali rufaa 15 na kuwarejesha wagombea katika kinyang'anyiro cha uchaguzi.
2. Imekataa rufaa 15 za wagombea ambao hawakuteuliwa.
3. Imekataa rufaa 25 za kupinga walioteuliwa.
Thubutuuu....TUME ya UCHAGUZI,
Tumieni HEKIMA kama Mfalme Seleman.
RUDISHENI WAGOMBEA WOTE WALIOENGULIWA, PASIWE NA KUPITA BILA KUPINGWA.
SANDUKU LA KURA LITAAMUA.
Hao wasimamizi wa Uchaguzi huko majimboni hawana weledi wa kujua yote haya? Sasa wanasimamia nini kama hajui chochote? Hawa ndio wanaoweza kuleta maafa nchini. Waondolewe kusimamia uchaguzi. Wamekosa sifa.nec inafanya kazi zake kwa mujibu wa sheria, na haipo pale kufanya hisani ya nani arudi nani akatwe.
Tume imefanya kazi yake kwa kuzingatia vielelezo vilivyo tolewa na kutoa maamuzi
Labda walikua mapumziko ya weekend so wakaamua kutangazia huko...Kwani hii TUME imerudi tena Dar es Salaam wakati tuliambiwa imehamia Dodoma?