Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yaanza kutoa matokeo ya rufaa za Udiwani na Ubunge zilizokatwa na wagombea katika Uchaguzi Mkuu wa 2020

Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yaanza kutoa matokeo ya rufaa za Udiwani na Ubunge zilizokatwa na wagombea katika Uchaguzi Mkuu wa 2020

Nyie mliokuwa mnazungumzia kila siku kuwa tume isitengue hao wagombea kila siku mlikuwa manazungumza kwa idhini gani? Je mlikuwa mnaitisha tume?

Acheni upuuzi wenu.
 
Twambieni leo mgombea wenu yupo.wapi mbona kimya?
 
CCM na vyombo vyote vya dola na maamuzi.


VS


UPINZANI
Ndiyo maana,siku alikuwa na kikao cha kutumbua,akisema, naona mahakama Kuna watuhumiwa wa ufisadi wapo magerezani kwa muda mlefu,hivyo kama kuna namna ya kufanya,ingefaa mahakama ikae na watuhumiwa,kama itafaa waone Hindi watuhumiwa wenye uwezo wakulipa waelewane ili waachiwe.

Kesho yake tuliona mahakama ikufanya sensa nchi zima kwa watuhumiwa wakaanza kukadiliwa Ida's ya pesa wanazotakiwa kulipa kulingana na kesi,mwisho wengi wao waliachiliwa.
Hivyo mihimili yote gaiko huru,ipo mfukoni mwa mtu mmoja.
 
Amani ya Tanzania ipo mikononi mwa NEC....
Tumesema Hatutakubali tunasema kweli na msema kweli ni mpenzi wa Mungu
Amani yetu ipo mikononi mwetu wenyewe. Sie ndo tunaamua kuliamsha au la. Tutakao umia au kutokuumia na maamuzi yetu pia ni sisi wenyewe. Tusitake kukwepa majukumu kwa kubebesha mzigo NEC.
 
Nec wanatubeep, vyama toeni marejesho haraka tujue tunaanza wapi?
 
Tutashinda kwa nguvu ya umma sio ya tume. Hiyo ndio sababu tunasema tumeshashinda. Vipi sauti inatosha au niongeze?
Nguvu ya umma mitandaoni?

Lisu aliwahamasisha muandamane nchi nzima kushinikiza wabunge walioenguliwa warudishwe, lakini mmeishia kuandamana humu mitandaoni huku wenzenu wana wabunge 20 tayari!

Haya hiyo nguvu ya umama au umma?
 
Hii tume haitakaa itende haki maana inamilikiwa na aliyeiteuwa na aliyeiteuwa haamini katka kutenda haki, je itatendaje haki kwa hali hiyo.Hizo rufaa zilizo kubariwa naona kama ni usanii tuu,tena wanapima upepo.Vyama upinzani visiishie tu kwenye matamko vitambue wananchi wengi wamesha choka na uonevu asiye taka kusikia ukweli aache lakini ndo ulivyo.Tunataka vitendo sasa.
 
Tume inatest amani ya Tanzania
Hapana mkuu hata watu kufanya maandamano ya amani wanajinyea woga uliopitiliza.Subiri mtu akipata teuzi kama Polepole na wengine anakula matapishi yake kwa mwendo wa 5G.
Leo hata Magufuli akiamua wanaume watembee uchi wala hakuna wa kubishi.
Hasa pale mjomba Magu alivyoteuwa PHD holders waoga kuliko Bi Titi Mohammed darasa la nane.
Lazima tukubali kuwa kizazi hiki ni hasara,watoto wa mama,mtoto anazaliwa anakuwa hadi kuolewa au kuoa hajapika hata Chai.
 
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeanza kutoa matokeo ya rufaa za udiwani na ubunge zilizokatwa na wagombea katika Uchaguzi mkuu wa 28 Oktoba 2020.

Leo tume imetoa matokeo ya rufaa 55 kama ifuatavyo:

1. Imekubali rufaa 15 na kuwarejesha wagombea katika kinyang'anyiro cha uchaguzi.

2. Imekataa rufaa 15 za wagombea ambao hawakuteuliwa.

3. Imekataa rufaa 25 za kupinga walioteuliwa.

Hizo rufani zilizokubaliwa zina toa ujumbe mkubwa sana juu ya ukosefu wa weledi wa watendaji wa ngazi ya wilaya. Kama vigezo vipo wazi kwa nini hadi Tume ije ione kuwa walionewa na hawa wakurugenzi wa Halmashauri wasione huo ukweli? Ndio maana tunasema wakurugenzi hawafai kusimamia uchaguzi. Tume iwe na watendaji waje kila wilaya kama ilivyo kwa TAKUKURU Na TISS
 
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeanza kutoa matokeo ya rufaa za udiwani na ubunge zilizokatwa na wagombea katika Uchaguzi mkuu wa 28 Oktoba 2020.

Leo tume imetoa matokeo ya rufaa 55 kama ifuatavyo:

1. Imekubali rufaa 15 na kuwarejesha wagombea katika kinyang'anyiro cha uchaguzi.

2. Imekataa rufaa 15 za wagombea ambao hawakuteuliwa.

3. Imekataa rufaa 25 za kupinga walioteuliwa.

Napendekeza hao watendaji wa majimboni waliofanya hayo makosa ya kuwaengua wapinzani kinyume na sheria wawajibishwe. Waondolewe kuwa wasimamizi wa uchaguzi maana inaonekana hawajui chochote zaidi ya ukada wao wa CCM.
 
nec inafanya kazi zake kwa mujibu wa sheria, na haipo pale kufanya hisani ya nani arudi nani akatwe.
Tume imefanya kazi yake kwa kuzingatia vielelezo vilivyo tolewa na kutoa maamuzi
Hao wasimamizi wa Uchaguzi huko majimboni hawana weledi wa kujua yote haya? Sasa wanasimamia nini kama hajui chochote? Hawa ndio wanaoweza kuleta maafa nchini. Waondolewe kusimamia uchaguzi. Wamekosa sifa.
 
VYAMA VYA UPINZANI NA WAGOMBEA WAKE WALIOSHINDA RUFAA KITANGAZENI KWENYE MEDIA KUWA MLIKATWA MMERUDI. HAINA KUPOTEZA MUDA
 
Kwani hii Tume imerudi tena Dar es Salaam wakati tuliambiwa imehamia Dodoma?
 
Back
Top Bottom