ORCA ACE
JF-Expert Member
- Jan 18, 2020
- 1,449
- 1,708
Sure
NEC wanapima upepo!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NEC wanapima upepo!!
Kumbe unamfatilia rais wako ajae vilivyo? [emoji6]Twambieni leo mgombea wenu yupo.wapi mbona kimya?
ahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Kazi na BataLabda walikua mapumziko ya weekend so wakaamua kutangazia huko...
Hapo ndio huwa inashangaza y not ccm hata mmoja asiwepo aliyekosea kujaza hizo form? ?Hapo wagombea wote waliokata rufaa ni wapinzani, maana yake kwa vyovyote vile watakaoumia ni wapinzani, hata kama wapo watakaorejeshwa kugombea lakini kwa hao ambao hawatarejeshwa nalo bado litabaki pigo kwa upinzani.
Hivi kwanini hakuna mgombea wa CCM hata mmoja aliekatwa? au wao walienda kusomea wapi kujaza hizo fomu? Tume iwaache wagombea wote sanduku la kura ndio likaamue.
Hapo bado la kutafuta tunalitafuta.
Suruhu hapa ilikuwa kuacha sanduku la kura kufanya kazi yake.
Ushindi wa mezani wa nini?
Na yule wa jinai Njombe?Kuna mto yeyote mwenye taarifa ya hatima ya Meya Jacob wa Ubungo?
Nakubaliana na wewe maana hivi NEC ipitishe tuu watu hata kama hawana sifa? Tuwaachie NEC wafanye kazi yao.NEC inafanya kazi zake kwa mujibu wa sheria, na haipo pale kufanya hisani ya nani arudi nani akatwe.
Tume imefanya kazi yake kwa kuzingatia vielelezo vilivyo tolewa na kutoa maamuzi
Usiombee hiyo kitu ndugu, na wala usitambe wee omba haki itendeke tuu.Nguvu ya umma mitandaoni?
Lisu aliwahamasisha muandamane nchi nzima kushinikiza wabunge walioenguliwa warudishwe, lakini mmeishia kuandamana humu mitandaoni huku wenzenu wana wabunge 20 tayari!
Haya hiyo nguvu ya umama au umma?
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeanza kutoa matokeo ya rufaa za udiwani na ubunge zilizokatwa na wagombea katika Uchaguzi mkuu wa 28 Oktoba 2020.
Leo tume imetoa matokeo ya rufaa 55 kama ifuatavyo...
akasema najua wa hapa washapita labda kwingine huko ndio watarudishwa.
Nadhani Marais wengi wanakuaga na Veto, kwani Rais ndio msimamizi mkuu wa Mambo yote ya nchi hii Kwa niaba ya wananchi..so sometimes anaweza kutoa maamuzi ya mwisho pamoja na kuwa pardon wale waliohukumiwa kunyongwa . Kosea kuchangia mbunge sio Rais.Ndiyo maana,siku alikuwa na kikao cha kutumbua,akisema, naona mahakama Kuna watuhumiwa wa ufisadi wapo magerezani kwa muda mlefu,hivyo kama kuna namna ya kufanya,ingefaa mahakama ikae na watuhumiwa,kama itafaa waone Hindi watuhumiwa wenye uwezo wakulipa waelewane ili waachiwe.
Kesho yake tuliona mahakama ikufanya sensa nchi zima kwa watuhumiwa wakaanza kukadiliwa Ida's ya pesa wanazotakiwa kulipa kulingana na kesi,mwisho wengi wao waliachiliwa.
Hivyo mihimili yote gaiko huru,ipo mfukoni mwa mtu mmoja.
Hakuna tume huru sema tume ya magufuliLeo asubuhi Magufuli wakati yuko Misungwi amesikika akisema hapa kuanzia Mbunge hadi Madiwani wamepita bila kupingwa. Na akaenda mbali zaidi na kudai najua kuna mapingamizi yako Tume ila kwa dharau akasema najua wa hapa washapita labda kwingine huko ndio watarudishwa...
Hakuna Tume hapo,ni kamati ya uchaguzi ya sisiem.Leo asubuhi Magufuli wakati yuko Misungwi amesikika akisema hapa kuanzia Mbunge hadi Madiwani wamepita bila kupingwa. Na akaenda mbali zaidi na kudai najua kuna mapingamizi yako Tume ila kwa dharau akasema najua wa hapa washapita labda kwingine huko ndio watarudishwa...
Kwanini mlikosea na mnataka tume iwabebe?
Kwa hiyo mnafanya makusudi ili watu wawasusie? Mwaka huu mpaka kieleweke! Kura zikijaa mkataka kuziiba tunaingiza raia barabarani pumbavu nyie!Siyo huru alafu mnaendelea kupiga kampen nakujiita mmeshashinda?