Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yamtangaza Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa awamu ya pili

Hito 84% Bashiru alisha isema.. naona yalikua maagizo ya mkuu kwamba

1. Chadema wapate kiti 1
2. Ccm ipate viti vyote
3. Yeye apate 84% ili apate nafasi ya kusema Watanzania wanataka aendelee 2026.
Watanzania wamewakataa, hata mkitafuta visingizio vinakuwa havina ladha. Na hawata ingia barabarani kumpambania Bwege aliye pata kura 1M.
 
Dar makelele ya shangwe na kupiga filimbi za usiku kuashiria furaha ya kushinda kwa Mh. JPM utafikiri usiku wa Mwaka Mpya.. Duh, kila la kheri Mh. JPM
 
Ipo siku akili zitakukaa vizuri..
 
Hata wasengemtangaza kusingekua na jipya....hata CCM wanaona aibu kushangilia
Kura zenu za mitandaoni zimehesabika pia....

Wanachi wameamua.. lieni tu.. eti Lissu angetawala.. hamjitambui.. 😀 😀 😀 😀 😀 😀

Magufuli Baba lao...💚💛💚💛💚
 
Magu tunasubiri maajabu yajayo yanafurahisha SIKUPENDI ILA LET ME SEE UTAFANYA NINI
 
dah ilitakiwa iwe 98%
CCM kuna mahali tumekosea kidogo, i wish ingekuwa 99% kabisa... Tufunge kazi, hapo hata mabeberu wangefunga midomo kabisa, anyway 84.4% sio mbaya. Wale vibaraka wa wazungu wakome, hivi akili ya kawaida tu, mzungu akupende ww mwafrika? Labda uwe huwajui wazungu vizuri, CDM wangeuza nchi hii kabisa kwa mabeberu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…