Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yamtangaza Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa awamu ya pili

Nakumbuka wakati anafunga kampeni kawe lisu alisema Tume imeandaa kumpaa jiwe kura mil.12 za ushindi na matokeo yaliyotangazwa leo yamekuwa hayohayo,inawezekana tume ilijaza hizo fomu za matokeo yenyewe,kura tulizopiga hazijahesabiwa ....uwiiiiiiiii hiiii ni hatareeeee!!
 
Wewe juha hukuona yale mabegi yanayokamatwa ya kura fake?
 
Reactions: BAK
Umpende, Umpende haikusaidii kitu. Watanzania wamechagua maendeleo, sio ushabiki au huruma za chama.
Kwa hiyo mimi sio Mtanzania?

Nisipompenda mimi inanisaidia kuwa na afya namchukia kupita maelezo

Hayo maendeleo unayajua wewe au unabwata tu, karne ya 21 unazungumzia hospital kubwa ya rufaa kutokuwa na gloves hayo maendeleo mengine utayaokota ndotoni? Puuuumbavuuu
 
2015...
Chadema & ccm kura zilikua 14+M
So mwaka huu wamepiga kura almost Walewale tena wanapungua kidogo[emoji1]
Yani manamba yote yale waliyokuwa wanampa wakitangaza matokeo ya kura za urais majimboni jumla yake ndio milioni kumi na mbili tu.

NEC wameona aibu wamepunguza idadi ya kura za wizi, mabegi mengine watakuwa wameyatupa hawajayahesabu.
 
Kitambulisho cha elfu 20 kinisaidie nini mimi unadhani mimi kapuku mwenzako au mtaji wa CCM majinga ya vijijini?

Hayo majinga siku hizi yamehamia hadi mijini, yani mimtu ya ccm ni ya hovyo sana puuuu!
 
Mkuu nikuulize kitu. Hivi zile kura fake hukuziona? Na kama uliziona kwa nini unaandika ujinga? Kama hukuziona basi wewe ni taahira.
Kura fake nchi nzima?. Allegations za kipuuzi kabisa, kwa style yenu msipobadilika sahauni hata uenyekiti wa serikali za mitaa. Watanzania Wanatafuta connection, hawapo tayari kuchanganya magunzi na betri.
 
Connection ya kitahira labda.
California ni blue state inaongozwa na Rais kutoka Red umewahi kusikia akiwaambia wasipoichagua serikali yake hatowapa maendeleo?

Such a wasted sp********
 
Kura fake nchi nzima?. Allegations za kipuuzi kabisa, kwa style yenu msipobadilika sahauni hata uenyekiti wa serikali za mitaa. Watanzania Wanatafuta connection, hawapo tayari kuchanganya magunzi na betri.
Hiyo ya uenyekiti wa serikali wa mtaa si tayari hawana? Sasa hivi CCM itatungoza kuanzia kwa mwenyekiti wa serikali za mitaa na wajumbe wake, wenyeviti wa halmashauri, spika na wabunge wake, Rais na Baraza lake la mawaziri. Ni kweli kama ulivyosema wananchi wamechagua betri.

Amandla....
 
Yani manamba yote yale waliyokuwa wanampa wakitangaza matokeo ya kura za urais majimboni jumla yake ndio milioni kumi na mbili tu.

NEC wameona aibu wamepunguza idadi ya kura za wizi, mabegi mengine watakuwa wameyatupa hawajayahesabu.
Sababu haziwakosi?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…