Uzuri historia haiongopi, wote waliowahi kupinduliwa walikuwa wakishinda kwa kishindo kwenye chaguzi.
Yani mahesabu ya kura 15 ma profesa wana piga mda mrefu hivyo kwa maana hiyo mahesabu ya kurusha rocket yata chukua miaka 100
Sasa akaedit katiba awe Rais wa Maisha, maana ndio kilichobakia
Siku ya kufunga kampeni pale Tanganyika Parkers, Lissu alisema NEC imemuandalia jiwe kura milion kumi na mbili
Mbwebwe zoote zile halafu unapata kura 1,933,271 ni fedheha na aibu kubwa.
mngesema mwanzo kabla hata ya kampeniSi wangemtangaza tu kabla hata ya kampeni, kuliko kuekti sinema ya matrillioni kwa kodi zetu, tungeokoa hayo matrillioni yakasaidia kutubambikizia kesi zisizo na dhamana wananchi na kununua virungu vilivyo vunjika baada ya kutupiga navyo....
Mkono wa Mungu utafanya kazi yake. Aje abadili na katiba kabisa atawale hadi mwisho wa dunia!!
Hito 84% Bashiru alisha isema.. naona yalikua maagizo ya mkuu kwamba
1. Chadema wapate kiti 1
2. Ccm ipate viti vyote
3. Yeye apate 84% ili apate nafasi ya kusema Watanzania wanataka aendelee 2026.
Mwana aende tena shule mama yangu ππ hesabu zangu nitakazo mfundishaji zina mtosha yani 15m kura zina chukua mda mrefu hivyo kama vile tuna subiri Yesu arudiAsilimia ilikuwa haijatimia Mkuu hivyo walikuwa wanajazilia pale namba zilipokuwa zimegoma ππππ½π
Mtaji wa kwanza wa sisi walala hoi ni amani..
Pambaneni, vutaneni lakn msitudhurumu amani..
Wakati wewe unaona heshma yake imeisha wengine wanaona heshma yake imeongezeka maradufuPole kwa.Jaji kaijage.. heshima yake ya ujaji imeishia tarehe 27 oct 2020.
Hata wasengemtangaza kusingekua na jipya....hata CCM wanaona aibu kushangilia
Ina maana zaidi ya wapigakura million 14 waliojiandikisha hawakupiga kura haya ni zaidi ya maigizo ya Tom & Jerry.
View attachment 1616179
Siwasapotii matagaa. ... Hiyo amani huku kwetu kwa Sasa haipo... Tuache nyimbo za Aman kukudanganya wakat hakuna Aman.... Hiyo ndo ilikuwa maana yangu na Wala sio kuwasapoti matagaaJipeleleze Mkuu vizuri,
Ukiona umefika mahali unaona njia pekee ya kupata unachotaka ni kudhurumu Uhuru wa binadamu mwenzio wa kuweza kutimiza mahitaji yake ya msingi, ambaye hata ukipata unachokitaka hutokaa hata siku moja umpelekee chochote ili aweze kujikimu..
Jua unapitia mabadiliko makubwa ya kutoka ktk hali ya ubinadamu... Your no more human being..!
Heshimuni uamuzi wa WANANCHIHito 84% Bashiru alisha isema.. naona yalikua maagizo ya mkuu kwamba
1. Chadema wapate kiti 1
2. Ccm ipate viti vyote
3. Yeye apate 84% ili apate nafasi ya kusema Watanzania wanataka aendelee 2026.
Very sad...
Kama vile hesabu za kurusha Rocket anganiMkuu si unajua hawa proffs wetu wanaokotwa jalalani hivyo uwezo wao wa kuhesabu ni wa ngumbaru.
Aheri umejua shida ilikuwa ni "kulinda kura "Mwenzao Aida Khenan ameshinda ubunge kwenye wakati mgumu sana, si Mbowe wala Lisu aliyeenda kumuombea kura huko Nkasi , acha ale maisha tena bila makato ya kuchangia chama.
Ni aibu kubwa sana kwa Mbowe, Msigwa, Lema, Mdee, Sugu kuzidiwa mbinu za medani katika kulinda kura na mtoto mdogo tena mwanamke Aida !
Kwa hali ilivyo kura zilizopigwa vituoni hazijahesabiwa.Yani manamba yote yale waliyokuwa wanampa wakitangaza matokeo ya kura za urais majimboni jumla yake ndio milioni kumi na mbili tu.
NEC wameona aibu wamepunguza idadi ya kura za wizi, mabegi mengine watakuwa wameyatupa hawajayahesabu.