Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,549
Wanasema chaguzi kama hizi kuamsha ari za vijana kuacha barracks na kuanza kutamani madaraka.
Uzuri historia haiongopi, wote waliowahi kupinduliwa walikuwa wakishinda kwa kishindo kwenye chaguzi.