Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Tume wakague vizuuri izo form,kama kunamahala panukta na akuweka imekulakwake.ukitaka,,,,,,nyani usimuangalie usoni.
Hahaaa...... Huu undezi sio kwa Tundu Lissu na watz wa sasa waliochoka🤔🤔😒😒
 
Huyu sio Lissu mbunge, wazungu wamefanya cloning, tangu atoke ulaya hajakutana na ndugu zake akiwemo kakayake, hajaenda kwake, hawakumbuki wazazi wake, kaenda kijijini kwao hakufika kuwasalimia.

Lissu original hakuwa na ndevu, huyu anamzuzu, sio yeye, vyombo vya usalama kuweni makini
 
Mbona haishi malalamiko kila kitu mpaka alielie, ataweza kuongoza nchi kweli huyu?
Mkuu inchi yetu hii hata kibajaji akipewa anaendesha bila shida. Tatizo ni kuendesha vizuri au vibaya. So swali lako ni mufilisi.
 

Sasa cc tukusaidiaje
 

Kwenye hili povu hoja yako ni nini?
 
show off hizo au mbwembwe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…