Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Mwanasheria Koko

Really [emoji44][emoji15]

[emoji1787][emoji1787][emoji3516]
 
Ohoo mwanasheria nguli kapigwa kata funua Kama ya mbasha.
 
Je, walitakiwa kufika hapo muda gani kabla ya muda waliopangiwa? Na hapo kwenye picha wanajaza jaza nini?
 
Siasa za Afrika ni za kibabe sana.. Ukilegea wanashuka na wewe jumla jumla. Komaa dingi mpaka uwape makaratasi yao
 
Mwanasheria nguli apambane na Hali yake sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…