ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]barua ya wazi kwa raisi wa jamhuri, mteja wao ameshawaambia huko.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]watakua wako njiani kuja kumsaidia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]barua ya wazi kwa raisi wa jamhuri, mteja wao ameshawaambia huko.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]watakua wako njiani kuja kumsaidia.
😁😁Hiki chama cha CHAUMA mbona kinapenda kukaa sana karibu na CHADEMA katika paragraph? Tume wanafanya hivyo hata kwenye makaratasi ya kura ili kuwachanganya Wazee wa vijijini badala ya Kupiga [emoji736] kwenye Chadema wanajikuta wamepiga[emoji736] kwenye Chauma.
Hilo hatutalikubaki watanzaniaHahahaaaa..... Jamaa anataka aendelee kujenga Jamhuri ya watu wa chato kibabe.......
Sasa amerudi mtetezi halisi wa watz amelowa na kutaka kulazimisha kumuondoa
Kamanda tunategemea kukuona barabarani 😂😂😂😂Zipo dalili zote kuwa Tundu Lissu na Hashim Rungwe wanaenda kuenguliwa.
😁😁Karibu na ccm..
Hii takataka tupa kuleeee.... Huyu pamoja na tlp, udp na nccr wameunga mkono juhudi.... Hao wote ni ccm
Binti yangu, vurugu zikianza Lisu awezi kimbia, hapo alipo ameazima miguu ya Mnyika!Lissu asisubiri mpaka mwisho, wanatakiwa walazimishe sasa hivi kuingia humo ndani bora hilo zoezi livurugike, akikubali kusubiri mpaka mwisho atazuiwa kurudisha au huyo mpokeaji anaweza kuondoka ofisini kwa mlango wa nyuma akisindikizwa na polisi wao waache hapo. Lissu anatakiwa kulazimisha kuingia humo ndani sasa hivi.
Wanataka wa-panic waambiwe wamesababisha vurugu!UOVU wa magufuli na wahuni na majizi ya tumeccm lazima utendwe wengine wakiwa wameshaondoka. Hawataki wa vyama vingine vya upinzani wawepo. Lissu kafika tangu 11:45am hadi saa hizi 2:13pm bado anasubiri tu [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Huu ni ujinga wako!! Wewe umeisoma fomu yake?? Kalemba miguu ya mekoWengine wamejaza wadhamini wachache kazi rahisi kuhakiki Lisu kaweka wadhamini maelfu Tume kumaliza kuhakiki itachukua muda .Yeye ndie kasababisha hiyo shida.Wenzie walijaza tu idadi minimum inayotakiwa na Tume Ili uhakiki uwe rahisi na ichukue muda mfupi yeye kajaza wadhamini dunia!!
TBCCCM ni TV la hovyo hovyo lililosalia Barani Afrikatbc leo wamedhihirisha kuwa ni watu wa aina gani
Rudia kusoma ulichoandika, umepaniki?Anarudisha last minute akidhani time watakuwa wameingwa sana bhas ataipitia kikamilifu sababu ya muda mdogo Leo Leo wapokee na Leo Leo watangaze!! Poor thinking