Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]watakua wako njiani kuja kumsaidia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]barua ya wazi kwa raisi wa jamhuri, mteja wao ameshawaambia huko.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Hiki chama cha CHAUMA mbona kinapenda kukaa sana karibu na CHADEMA katika paragraph? Tume wanafanya hivyo hata kwenye makaratasi ya kura ili kuwachanganya Wazee wa vijijini badala ya Kupiga [emoji736] kwenye Chadema wanajikuta wamepiga[emoji736] kwenye Chauma.
😁😁
 
Watatorokamda si mrefu wenyekiti afisa kipenyo na wenzie watasepa kupitia mlango wa nyuma , utasikia mda wa kurudisha fomu umeisha hayana hata aibu ,hivi hapo Dodoma mnasubiri nini kikinukisha.
 
Hahahaaaa..... Jamaa anataka aendelee kujenga Jamhuri ya watu wa chato kibabe.......

Sasa amerudi mtetezi halisi wa watz amelowa na kutaka kulazimisha kumuondoa
Hilo hatutalikubaki watanzania
#NoLissu,NoElection#Sasa basi!
 
1598391294570.png
 
Ngoja nione kama huu utopolo niliowahi kuandika kama uta make sense...
Screenshot_20200825-143355.jpg
 
Lissu asisubiri mpaka mwisho, wanatakiwa walazimishe sasa hivi kuingia humo ndani bora hilo zoezi livurugike, akikubali kusubiri mpaka mwisho atazuiwa kurudisha au huyo mpokeaji anaweza kuondoka ofisini kwa mlango wa nyuma akisindikizwa na polisi wao waache hapo. Lissu anatakiwa kulazimisha kuingia humo ndani sasa hivi.
Binti yangu, vurugu zikianza Lisu awezi kimbia, hapo alipo ameazima miguu ya Mnyika!
 
UOVU wa magufuli na wahuni na majizi ya tumeccm lazima utendwe wengine wakiwa wameshaondoka. Hawataki wa vyama vingine vya upinzani wawepo. Lissu kafika tangu 11:45am hadi saa hizi 2:13pm bado anasubiri tu [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Wanataka wa-panic waambiwe wamesababisha vurugu!
 
Wengine wamejaza wadhamini wachache kazi rahisi kuhakiki Lisu kaweka wadhamini maelfu Tume kumaliza kuhakiki itachukua muda .Yeye ndie kasababisha hiyo shida.Wenzie walijaza tu idadi minimum inayotakiwa na Tume Ili uhakiki uwe rahisi na ichukue muda mfupi yeye kajaza wadhamini dunia!!
Huu ni ujinga wako!! Wewe umeisoma fomu yake?? Kalemba miguu ya meko
 
Walipoelekezwa kwenda kwenye hiyo holding room nilijua tu kuwa wamewekwa huko ili maafisa wa tume wasubirie "maelekezo kutoka juu" ya nini kifanyike
 
Anarudisha last minute akidhani time watakuwa wameingwa sana bhas ataipitia kikamilifu sababu ya muda mdogo Leo Leo wapokee na Leo Leo watangaze!! Poor thinking
Rudia kusoma ulichoandika, umepaniki?
 
Back
Top Bottom