Mkongwe Mzoefu
JF-Expert Member
- Aug 10, 2018
- 861
- 2,515
Watamwonyesha ila kwa pembeni, yaani si kivileeee!Leo wagombea wote wataonyeshwa mkuu, shaka ondoa
TBC watakata matangazoLeo wagombea wote wataonyeshwa mkuu, shaka ondoa
Alizipeleka kuhakikiwa? Usikute kuna mtego wamemuwekea.Mhe. Tundu Lissu Kunguruma leo kwenye ofisi za Uchaguzi Dodoma akirejesha Form ya Kugombea Urais wa Tanzania
Updates
----
Hajapeleka kavizia last minute akidhani tume wajinga kuwa kazi Yao kupokea tu si kuhakiki anadhani tume Ni masjalaAlizipeleka kuhakikiwa? Usikute kuna mtego wamemuwekea.
Ofisi utafunga wewe kama niya nyumbani kwako kuhusu uzembe jibu ni kwamba uzembe unao wewe na familia yakoMwenzake kasharudisha yeye hadi saa sita anasubiri nini ?
Uzembe tu, wacha wafunge ofisi
Acha kulopoka usichokijua mkuu ..ratiba ya kurudisha saa 6 mchana imepangwa na Tume yenyewe.Mwenzake kasharudisha yeye hadi saa sita anasubiri nini?
Uzembe tu, wacha wafunge ofisi
Magufuli alipeleka?!Hajapeleka kavizia last minute akidhani tume wajinga kuwa kazi Yao kupokea tu si kuhakiki anadhani tume ni masjala
Unadhani kuna luninga itaonesha hilo tukio, waoga mno. Wana watoto wanasomesha.Atakuwa mubashara kupitia luninga gani bwashee?
Siku nyingi alipeleka kimya kimyaMagufuli alipeleka ?!
TBCAtakuwa mubashara kupitia luninga gani bwashee?
Tutawapasha maana tuko DodomaJitaidini mtumie social media kutupasha hapa, mkitegemea Tv na redio kutupasha kila kinachoendelea
Ila asiguse mic yoyote [emoji41]TBC watamwonyesha kama walivyofanya kwa mgombea wa CCM?
Hivi wewe huoni aibu kushabikia upumbavu kwa juhudi unazofanya? Umelelewaje wewe kijana?Siku nyingi alipeleka kimya kimya
Raisi Magufuli alisharudisha siku nyingi kimya kimya bila kelele Wala tarumbetaHivi wewe huoni aibu kushabikia upumbavu kwa juhudi unazofanya?
Umelelewaje wewe kijana?
TBC1 kwa sababu inaendeshwa kwa kodi za WatanzaniaAtakuwa mubashara kupitia luninga gani bwashee?