Congressman
JF-Expert Member
- Jun 2, 2020
- 781
- 2,305
Kila kheri mhe Rais
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona tbccm wamekata mawasiliano..Mhe. Tundu Lissu Kunguruma leo kwenye ofisi za Uchaguzi Dodoma akirejesha Form ya Kugombea Urais wa Tanzania
Updates
----
Analipwa 7000/- kwa siku na pia Elimu yake ni form 4 shule za kata.Hivi wewe huoni aibu kushabikia upumbavu kwa juhudi unazofanya?
Umelelewaje wewe kijana?
Hivi sasa ni saa 6 na dakika kadhaa mbele, hebu mlioko Dodoma, tupeni feedback ya kinachoendelea hukoRatiba
Fikiri kabla ya kuandika, ipo ratiba ya time na si kila mtu anarudisha fomu kwa ratiba yakeMwenzake kasharudisha yeye hadi saa sita anasubiri nini ?
Uzembe tu, wacha wafunge ofisi