Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Anarudisha last minute akidhani time watakuwa wameingwa sana bhas ataipitia kikamilifu sababu ya muda mdogo Leo Leo wapokee na Leo Leo watangaze!! Poor thinking
NEC imevipa vyama vyote taratibu za kurejesha fomu na hizo taratibu ndizo zimetumika, Inawezekanaje wagombea wote wafike katika Ofisi za Tume kwa wakati mmoja? Haiwezekani
 
Mhe. Tundu Lissu Kunguruma leo kwenye ofisi za Uchaguzi Dodoma akirejesha Form ya Kugombea Urais wa Tanzania

Updates
----
huku viunga vya Lumumba & Chamwino pivyu vimebana nidaroko za watu aisee..... watu wameshika mbupu jamaa aenguliwe!
 
Back
Top Bottom