Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

CDM Ni chama kubwa.kikikosa mgombea uRais tuwe tayari kutumia bilion 300 zilizotengwa kwa ajili ya uchaguzi mkuu October kwa kazi zingine Mfano. SGR
Hakuna kitu hapo! Ccm itaendelea na uchguzi kama kawa
 
Mhe. Tundu Lissu Kunguruma leo kwenye ofisi za Uchaguzi Dodoma akirejesha Form ya Kugombea Urais wa Tanzania

Updates
----
Tayari Mweshimiwa Tundu Lissu ambae ni mgombea urais na makamu wake Salum Mwalim wameshafika kwenye ofisi za tume ya Uchaguzi kwa urejeshaji wa Form

UPDATE:-
Tumehifadhiwa kwenye holding room ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi hapa Dodoma kusubiri kuitwa ndani kwa ajili ya uteuzi!

Mwanahabari wa Loketo tupe link ya muungurumo live wake leo
 
15:04 no answer, au wanasubiri maagizo kutoka juu ,kwa yesu wa chato?
 
1598357038657.png
1598357087865.png
 
Muda mwingine Chadema ni hopeless. Wenzao walipeleka fomu zao jana na juzi wao wakajifanya vidume.. Wakaenda leo sujui wana lalamika nini. Utoto tuu. Nimesha wachukia tayari..
Wewe ndiyo hopeless nini ulichoandika hapa unaelewa kinachoendelea kweli wewe
 
Hopeless ni wewe, unajua sheria inasemaje katika kurejesha fomu? Kuna time restrictions!
Muda mwingine Chadema ni hopeless. Wenzao walipeleka fomu zao jana na juzi wao wakajifanya vidume.. Wakaenda leo sujui wana lalamika nini. Utoto tuu. Nimesha wachukia tayari..
 
Muda mwingine Chadema ni hopeless. Wenzao walipeleka fomu zao jana na juzi wao wakajifanya vidume.. Wakaenda leo sujui wana lalamika nini. Utoto tuu. Nimesha wachukia tayari..
Ratiba ni leo..pia kuna draft

Hata sijui unaleta hoja gani hapa
 
Tume wanahisi yapo makubaliano ya siri kati ya Lissu na vyama vingine vya upinzani kama ACT etc kwamba Lissu akipitishwa tu na Tume basi vyama vingine visirudishe fomu.
Mfano wanahofu akianza Lissu kabla ya Membe huenda baada ya Lissu kupitishwa Membe anaweza kuahirisha kurudisha fomu.
Lengo la tume ni kuhakikisha kura za upinzani zinagawangika. Baada ya vyama kadhaa vikubwa kuteuliwa ndipo atakaporuhusiwa Lissu. Na baada ya hapo hakuna kujitoa hata sijui Membe au NCCR wakitaka kujitoa tume itakataa itasema imeshachapisha karatasi za uchaguzi, hivyo majina ya vyama vyote kama yalivyo yatatokea kwenye karatasi za kupigia kura tarehe 28 Octoba
 
Back
Top Bottom