Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fomu zinarudishwa kwa utaratibu na siku yenyewe ni leo, sio unarudisha kiholela tu.Muda mwingine Chadema ni hopeless. Wenzao walipeleka fomu zao jana na juzi wao wakajifanya vidume.. Wakaenda leo sujui wana lalamika nini. Utoto tuu. Nimesha wachukia tayari..
Tundu Lissu kawashika MATAGA kunako...Mnaweweseka magwanda
Saa sita kamili.Lisu kafika saa tano na dk 45Ratiba inansema Chadema walitikiwa saa ngapi boss
Tume wanahisi yapo makubaliano ya siri kati ya Lissu na vyama vingine vya upinzani kama ACT etc kwamba Lissu akipitishwa tu na Tume basi vyama vingine visirudishe fomu.
Mfano wanahofu akianza Lissu kabla ya Membe huenda baada ya Lissu kupitishwa Membe anaweza kuhairisha kurudisha fomu.
Lengo la tume ni kuhakikisha kura za upinzani zinagawangika. Baada ya vyama kadhaa vikubwa kuteuliwa ndipo atakaporuhusiwa Lissu. Na baada ya hapo hakuna kujitoa hata sijui Membe au NCCR wakitaka kujitoa tume itakataa itasema imeshachapisha karatasi za uchaguzi, hivyo majina ya vyama vyote kama yalivyo yatatokea kwenye karatasi za kupigia kura tarehe 28 Octoba
Llets wait and seeTume wanahisi yapo makubaliano ya siri kati ya Lissu na vyama vingine vya upinzani kama ACT etc kwamba Lissu akipitishwa tu na Tume basi vyama vingine visirudishe fomu.
Mfano wanahofu akianza Lissu kabla ya Membe huenda baada ya Lissu kupitishwa Membe anaweza kuhairisha kurudisha fomu.
Lengo la tume ni kuhakikisha kura za upinzani zinagawangika. Baada ya vyama kadhaa vikubwa kuteuliwa ndipo atakaporuhusiwa Lissu. Na baada ya hapo hakuna kujitoa hata sijui Membe au NCCR wakitaka kujitoa tume itakataa itasema imeshachapisha karatasi za uchaguzi, hivyo majina ya vyama vyote kama yalivyo yatatokea kwenye karatasi za kupigia kura tarehe 28 Octoba
Flyover au madaraja hayoHuyo aliyejenga FlyOver, kununua mandege na kujenga mabarabara haamini kuwa hayo mandege yatampigia kura!? Aliyesema nchi imekabidhiwa kwa washamba na malimbukeni hakukosea.
Saa sita kamili.Lisu kafika saa tano na dk 45
Watampitisha ila baada ya wagombea wote then hakuna mgombea kujitoa hapo watakuwa wameumaliza muungano wa ACT na CHADEMA.Acha porojo.. sema wanasubiri kauli na yesu wa tocha[emoji111][emoji111]
Sijafahamu mkuuHivi hicho chumba walichowekwa ni salama?
Mungu awape nguvu