Hakuna kitu hapo! Ccm itaendelea na uchguzi kama kawaCDM Ni chama kubwa.kikikosa mgombea uRais tuwe tayari kutumia bilion 300 zilizotengwa kwa ajili ya uchaguzi mkuu October kwa kazi zingine Mfano. SGR
Hahahaaaha! Jasusi mbobezi, yaani huyu hana tofauti na wale wakujiita Wakili msomi. Hivi inawezekana kuna majasusi lelemama? Au mawakili vihiyo.SASA HIVI BERNARD MEMBE!
CCM HOYE![emoji4]
KAZI IPO
Mwanahabari wa Loketo tupe link ya muungurumo live wake leoMhe. Tundu Lissu Kunguruma leo kwenye ofisi za Uchaguzi Dodoma akirejesha Form ya Kugombea Urais wa Tanzania
Updates
----
Tayari Mweshimiwa Tundu Lissu ambae ni mgombea urais na makamu wake Salum Mwalim wameshafika kwenye ofisi za tume ya Uchaguzi kwa urejeshaji wa Form
UPDATE:-
Tumehifadhiwa kwenye holding room ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi hapa Dodoma kusubiri kuitwa ndani kwa ajili ya uteuzi!
Unajifanya mjuaji kumbe hujui. Fom za urais unajua zimeanza rudishwa lini?Muda mwingine Chadema ni hopeless. Wenzao walipeleka fomu zao jana na juzi wao wakajifanya vidume.. Wakaenda leo sujui wana lalamika nini. Utoto tuu. Nimesha wachukia tayari..
[emoji3][emoji3] mkuu naishiwa nguvu kwa kweliHahahaaaha! Jasusi mbobezi, yaani huyu hana tofauti na wale wakujiita Wakili msomi. Hivi inawezekana kuna majasusi lelemama? Au mawakili vihiyo.
Wewe ndiyo hopeless nini ulichoandika hapa unaelewa kinachoendelea kweli weweMuda mwingine Chadema ni hopeless. Wenzao walipeleka fomu zao jana na juzi wao wakajifanya vidume.. Wakaenda leo sujui wana lalamika nini. Utoto tuu. Nimesha wachukia tayari..
Muda mwingine Chadema ni hopeless. Wenzao walipeleka fomu zao jana na juzi wao wakajifanya vidume.. Wakaenda leo sujui wana lalamika nini. Utoto tuu. Nimesha wachukia tayari..
Ratiba ni leo..pia kuna draftMuda mwingine Chadema ni hopeless. Wenzao walipeleka fomu zao jana na juzi wao wakajifanya vidume.. Wakaenda leo sujui wana lalamika nini. Utoto tuu. Nimesha wachukia tayari..
Mkuu tupe picha aisee
Ratiba inansema Chadema walitikiwa saa ngapi bossRatiba ni leo..pia kuna draft
Hata sijui unaleta hoja gani hapa