Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Muda mwingine Chadema ni hopeless. Wenzao walipeleka fomu zao jana na juzi wao wakajifanya vidume.. Wakaenda leo sujui wana lalamika nini. Utoto tuu. Nimesha wachukia tayari..
Fomu zinarudishwa kwa utaratibu na siku yenyewe ni leo, sio unarudisha kiholela tu.
 
M.kiti wa tume anatetemeka.... + hofu

Vimebaki vyama 8

Sasa hivi saa 15.17
 
Acha porojo.. sema wanasubiri kauli na yesu wa tocha[emoji111][emoji111]
 
Llets wait and see
 
Huyo aliyejenga FlyOver, kununua mandege na kujenga mabarabara haamini kuwa hayo mandege yatampigia kura!? Aliyesema nchi imekabidhiwa kwa washamba na malimbukeni hakukosea.
Flyover au madaraja hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…