Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Dhana hii siyo. Mgombea anaweza kujitoa muda wowote ndani ya saa 24 baada ya kuteuliwa na tume.
 
Week nzima jaji kaijage alikuwa na vikao na IGP Shibuda Lipumba polepole na viongozi wengine wa CCM wakibuni jinsi ya kumhujumu kuidhoofisha chadema
 
Tusubiri Membe arudishe fomu Tume Ina watu wenye akili za kufa mtu Membe aamue kusuka au kunyoa anarudisha fomu au harudishi? Atajijua yeye si anajiita kachero mbobezi ? Mziki huo tume imemrushia kamba
 
Kama NEC wangekuwa na Nia ya kumpitisha Lissu Basi wangemuita kwenye Nafasi yake. Ila wanasubiri wamalize kutoa tuele kwa waliokizi vigezo kwanza ili hata ikitokea fujo isiathili wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…