Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Tume wanahisi yapo makubaliano ya siri kati ya Lissu na vyama vingine vya upinzani kama ACT etc kwamba Lissu akipitishwa tu na Tume basi vyama vingine visirudishe fomu.
Mfano wanahofu akianza Lissu kabla ya Membe huenda baada ya Lissu kupitishwa Membe anaweza kuahirisha kurudisha fomu.
Lengo la tume ni kuhakikisha kura za upinzani zinagawangika. Baada ya vyama kadhaa vikubwa kuteuliwa ndipo atakaporuhusiwa Lissu. Na baada ya hapo hakuna kujitoa hata sijui Membe au NCCR wakitaka kujitoa tume itakataa itasema imeshachapisha karatasi za uchaguzi, hivyo majina ya vyama vyote kama yalivyo yatatokea kwenye karatasi za kupigia kura tarehe 28 Octoba
Dhana hii siyo. Mgombea anaweza kujitoa muda wowote ndani ya saa 24 baada ya kuteuliwa na tume.
 
Kitendo cha NEC kuwa wazito kupokea fomu za Mgombea wa Urais kupitia CHADEMA na kumteua, Je akishinda wataweza kweli mteua kuwa RAIS.

Watu wamefika kabla ya muda mmewaweka bench masaa mawili huku waliikuja baada wakiendelea kuteuliwa.


Ila ipo siku haya yote yataisha tu.
Week nzima jaji kaijage alikuwa na vikao na IGP Shibuda Lipumba polepole na viongozi wengine wa CCM wakibuni jinsi ya kumhujumu kuidhoofisha chadema
 
1598394969775.png
 
Tusubiri Membe arudishe fomu Tume Ina watu wenye akili za kufa mtu Membe aamue kusuka au kunyoa anarudisha fomu au harudishi? Atajijua yeye si anajiita kachero mbobezi ? Mziki huo tume imemrushia kamba
 
Kama NEC wangekuwa na Nia ya kumpitisha Lissu Basi wangemuita kwenye Nafasi yake. Ila wanasubiri wamalize kutoa tuele kwa waliokizi vigezo kwanza ili hata ikitokea fujo isiathili wengine.
 
Back
Top Bottom