Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dhana hii siyo. Mgombea anaweza kujitoa muda wowote ndani ya saa 24 baada ya kuteuliwa na tume.Tume wanahisi yapo makubaliano ya siri kati ya Lissu na vyama vingine vya upinzani kama ACT etc kwamba Lissu akipitishwa tu na Tume basi vyama vingine visirudishe fomu.
Mfano wanahofu akianza Lissu kabla ya Membe huenda baada ya Lissu kupitishwa Membe anaweza kuahirisha kurudisha fomu.
Lengo la tume ni kuhakikisha kura za upinzani zinagawangika. Baada ya vyama kadhaa vikubwa kuteuliwa ndipo atakaporuhusiwa Lissu. Na baada ya hapo hakuna kujitoa hata sijui Membe au NCCR wakitaka kujitoa tume itakataa itasema imeshachapisha karatasi za uchaguzi, hivyo majina ya vyama vyote kama yalivyo yatatokea kwenye karatasi za kupigia kura tarehe 28 Octoba
Week nzima jaji kaijage alikuwa na vikao na IGP Shibuda Lipumba polepole na viongozi wengine wa CCM wakibuni jinsi ya kumhujumu kuidhoofisha chademaKitendo cha NEC kuwa wazito kupokea fomu za Mgombea wa Urais kupitia CHADEMA na kumteua, Je akishinda wataweza kweli mteua kuwa RAIS.
Watu wamefika kabla ya muda mmewaweka bench masaa mawili huku waliikuja baada wakiendelea kuteuliwa.
Ila ipo siku haya yote yataisha tu.
Muda unatupa mkono[emoji3]Tuendelee kuwa na subra
Wait and see. Kwenye ubunge napo si mlisema hivo kwa huyo mlopokaji wenu mwanaharakati uchwara#NoLissuNoElection
mbona post ina masaa 10!?
Tulia wewe mtoto!Mnaweweseka magwanda
Shida ni baadhi ya watanzania wenyewe kutojitambua....Nchi hii upumbavu unapewa Sana kiupaumbele kuliko maendeleo sijui shida Nini?
Walikuwepo akina Elbashiri, Chiluba Abacha Bokasa mabutu Sadam Hussein Gadafi Iddy Amin Dada leo wapo wapi?Jiwe atabana mpaka ataachia
Kwa nini mnateseka?
mtu mwenyewe ni unfit!
Hata kura milioni moja akizipata ni bahati!
Tangu lini Tanzania ikaongozwa na mropokaji!
mlopokaji - Hichi ni kisukuma au?Wait and see. Kwenye ubunge napo si mlisema hivo kwa huyo mlopokaji wenu mwanaharakati uchwara
Muda unatupa mkono[emoji3]